Dirisha la usajili linaendelea kutupa kila sababu ya kuwa makini kutizama kile kinachoendelea katika vilabu mbalimbali. Mshambuliaji wa Bayer Leverkusen- Kevin Volland amesajiliwa Monaco.
Leverkusen wanapata pigo kwa kuondokewa na wachezaji wake hii ni baada ya kukosa nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa msimu ujao, pengine hii ni sababu moja kati ya nyingi.
Kevin Volland ametua Ligue 1.
Wakati ambapo taarifa zikidai Kai Havertz anatua darajani – Stamford Bridge muda wowote, mchezaji mwenzake ameamua kutimkia Monaco kwa mkataba wa miaka 4 na ada ya euro milioni 15.
“Ninawashukuru viongozi wa Monaco kwa imani walionionesha. Ninafurahi kujiunga na klabu hii yenye historia kubwa na maono makubwa.

“Nilifuatilia mchezo wao wa kwanza na ninashauku kubwa ya kuungana na wachezaji wenzangu na kuonesha ubora wangu.” amesema Kevin.
“Kevin amekuwa mfano wa kuigwa katika kikosi cha Bayer kwa muda sasa. Ilipotokea hii fursa ya kwenda kucheza sehemu nyingine, tulipokea maombi yake ya kutaka kuondoka na uamuzi ulifikiwa kwa makubaliano ya pande zote mbili.” amesema Mkurugenzi wa Michezo wa Leverkusen – Simon Rolfes.
Katika michezo 247 aliyoicheza Volland akiwa Bundesliga, amefunga magoli 77 na kutoa pasi 62 za magoli.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


magdalena
mambo yanazidi kutaradadi ligue1
Sauda
Kaza buti kijana
Sadick
Kama uhamisho wa Kai kwenda utafanikiwa basi Liverkusen itakuwa imefanya biashara kubwa#meridianbettz
[email protected]
Kaza but I kijana
Samiah
Hiii kali sanaaa
Shafii
Gud signing kijana yuko vizuri.
Neema
Hatareeee tupuu
Samira
Kijana yupo vizuri
Khadija
Mambo yamenoga
Adelta
Karibu Sana kwenye klabu ya monaco
@meridianbettz
Dorophina
Habari njema naona usajili umenoga htr
aisha
Ni safi kukipiga tena
Mwajumah
Kijana yupo vizuri#Meridianbettz
Fatina mfingi
Kija upo vizur kaza buti ufike mbali
rama
natumaini ata fanya vizuri tu coz kiwango chake bora tu
Nasra
Aongeze juhudi tu
Latifa juma mohamed
Kijana yupo vzuri
Sabrina
Monaco wamepata mchezaji mzuri tu
Shani
Volland safi kwa kujiunga na Monaco na itumikie mpak uwape ubingwa
Caroline
Monaco mmepata mchezaji mzuri
Hidaya
Kijana yupo makini
Mwanahamisi
Aongeze juhudi
Povel
Habar njema kwa mashabik wa fc monaco
Rehema Dickson
Mambo moto
Janeflora malisa
Nice
Saupha mohamed
Atafanya viziri akazeee tu
Fatuma kasomo
Yupo vizuri
Frank P
Wanazidi kukusanya mitonyo tu
Genia Sikaluzwe
Nikijana mzuri sana anajuwa mpira
Amiri Kayera
Ooh atawasaidia Sana monaco
Issa
Monaco imepata mtu makini ila wahakikishe wanamtumia wafikie levo zao za kipindi kile
Agness
Hongera zake akaze buti kijana
Asia Abdy
Jambo zuri
Hope mwaikuka
Namuelewa sana huyu
Revina
Monaco hawajakosea kabisa
marry
aongeze bidii zaid uko
Theckla
Asante kwa taarifa
Rehema
Yuko vizuri
David Pere
Kevin amekuwa mfano wa kuigwa katika kikosi cha Bayer kwa muda sasa. Ilipotokea hii fursa ya kwenda kucheza sehemu nyingine, tulipokea maombi yake ya kutaka kuondoka na uamuzi ulifikiwa kwa makubaliano ya pande zote mbili.”
farida ahmadi
Safiiii Sana
Rose kapinga
Usajili umepamba moto!!!
Tatu
Monaco imepata kitu walichokitaka safi volland
Lydia Emmanuel Magoti
Mambo yanazidi kuiva usajili waali yajuuu
Gabriel
Volland safi kwa kujiunga na Monaco na itumikie mpak uwape ubingwa maana Monaco imepata kitu walichokitaka safi volland
felister
dah habari mbaya kwa mashabiki wa leverkusen
Ernest
Binafsi natamani sana kuona Monaco ikirudi kwenye chat yake lakini msimu uliopita ulikuwa mfadhaiko tuu kwa wapenzi wa soka
Ester jackson
Good
warda
Monaco wanasajili sana safali hii