Mchezaji nyota wa tenisi – Novak Djokovic alijikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kuvumilia hasira zake na kumdhuru msimamizi wa mchezo.
Kitendo hicho kilitokea wakati Novak akiwa uwanjani kupambana na Pablo Correno Busta. Novak alitoa tenesi mfukoni na kuipiga nyumba ya mpinzani wake, tenisi hiyo ilimgonga msimamizi katika sehemu yake ya koo.
Kwa kitendo hiki, Novak ameondolewa katika mchezo huo na hivyo hatoshiriki hatua zinazofata.

Novak Djokovic aomba radhi kwa kumuumiza msimamizi.
“Nimejisikia vibaya kwa kilichotokea. Nilimuangalia mshika kipendera na aliniambia, mshukuru Mungu msimamizi ni mzima.
“Ninaomba samahani kwa kumuumiza. Sikudhamiria , sitomtaja jina lake kwasababu ninaheshimu usiri wake.
“Kwa kuondolewa kwenye mashindano, ninahitaji kukaa chini na kujitafakari na kutumia funzo hili kukua kama mchezaji na kibinadamu. Ninaomba radhi kwa US Open na kila mtu aliyehusika kwenye kosa langu.
“Ninaishukuru timu na familia yangu kwa kuwa bega kwa bega na mimi pamoja na mashabiki zangu ambao wameendelea kunishika mkono. Asanteni na mnisamehe sana” alisema Novak Djokovic.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


magdalena
kama kaomba msamaha ni bora wakamsamehe sababu hakukusudia kufanya vile ni ajali tu
Neema
Kama kaomba radhi kafanya jambo jema
aisha
Oky novak wewe ni binadamu napia hakuna binadam aliyekamilika katika hii dunia isipokua mungu tuu ila kinachotakiwa usirudie tena kujeruhi hisia za mtu tena unatakiwa uzikontroo hisia zako
Lydia Emmanuel Magoti
Kama kaomba msamahaa msikilizen kwasababu niasila tuu zilikuwa kwasababu kila mfanya kosa usamewa amekili amekosa
marry
ni changamoto azidi kupambna
Furahav
Daah wamsamee tu,
Flomena
Doooo so sad and sorry for Novak
Latifa juma mohamed
Jambo jema kwa kujishusha cz hakutarajia lait km yangelitokea , so sorry Djokovic.
rama
kafanya vizuri kuomba radhi kwani kajia kosa lake
Sadick
Novak Djokovic kaharibu CV yake, kilikuwa kisicho cha kimichezo. Lakini muhimu ameonyesha uungwana kwa kuomba radhi#meridianbettz
Mwanahamisi
Bora wamsamehe tuu
Elika
Asamehewe tuu
Sabrina
Wamsamehe tu anasema hajsdhamilia
Tatu
Hasira hasara kama ameomba msamaha asemehewe tu alishindwa kujizuia mihemko yake
Mwajumah
Wamsamehe tu#Meridianbettz
felister
wamsamehe tu
Theckla
Asamehewe Mana ametambua kosa lake
Zeiyana
Akuna msamahaa wowote sheria hifuate mkondo wake iwe funzo kwa wengine
Dorophina
Wamsamehe tu ni hasira labda hakutegemea kama atafanya ivyo
Sauda
Amechukua uamuzi sahihi sana
Samiah
Wamsamehetu