Tetesi zinasema Mkufunzi mpya wa Barcelona Ronald Koeman ameambia klabu hiyo anataka kumzuia Phillipe Coutinho msimu huu badala ya kumtoa mchezaji huyo wa Brazil kwa mkopo.
Mchezaji wa Scotland Ryan Frazer 12 amekubali kujiunga na klabu ya Newcastle baada ya kuondoka klabu ya Bournemouth mwisho wa msimu na sasa anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya.
Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amezungumza na winga wa England Jadon Sancho, 20, kuhusu kujiunga na klabu hiyo kutoka klabu ya Borussia Dortmund msimu huu.

Licha ya Gareth Bale kutaka kuondoka Real Madrid , klabu hiyo haijapokea maombi yoyote ya mshambuliaji huyo wa Wales, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 akikataa kupunguziwa mshahara wake na hivyo basi kuwazima wanaommezea mate.
Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez, 33, anatarajiwa kufanya mtihani wa Lugha siku ya Jumatatu ili kupatiwa uraia wa Itali , hatua itakayomfanya kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Juventus.
Tetesi zinasema Mshambuliaji wa Bosnia Edin Dzeko, 34, ameomba kuondoka klabu ya Roma na kujiunga na Juventus.
Tetesi zinasema Barcelona inaandaa ofa ya mwisho kumnunua mshabuliaji wa Argentina Lautaro , 23.

West Ham italazimika kuongeza ombi lao la dau la £27m ili kuwa na fursa yoyote ya kumsajili beki wa kati wa Burnley James Tarkowski, 27.
Tetesi zinasema Tarkowski anasema kwamba anataka kucheza katika Ligi ya Mabingwa iwapo fursa itajitokeza na anatumai kurudi katika kikosi cha England.
Sheffield United inakamilisha dau la £11m kumsaini beki wa Derby na England Jayden Bogle, 20, na Max Lowe, 23, na pia watampeana mshambuliaji wa Ireland Callum Robinson, 25, ili kumpata winga wa Usochi Oliver Burke, 23.

Mchezaji wa Liverpool na aliyekuwa winga wa timu isiozidi wachezaji wa miaka 21 nchini England Sheyi Ojo, 23, anatarajiwa kujiunga na klabu ya Cardiff katika ligi ya daraja la kwanza nchini England kwa mkopo licha ya hamu kutoka Nottingham Forest.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Neema
Asante kwa taarifa
Rehema Dickson
Mko viziri sna meridian bet
Furahav
Habari nzuri.
Flomena
Good news and Congratulations to Luis Suarez
Latifa juma mohamed
New updates.
rama
vizuri sana meridianbet
Mwanahamisi
Good news
Adelta
Good 👍@meridianbettz
magdalena
naona united hawakati tamaa juu ya upatikanaji wa sancho kazi kwelikweli
Ernest
Ni wakati wa Coutinho kuwaprove watu wrong baada ya kumuongelea vibaya muda mrefu since ametua Barcelona
Povel
Nice information
Shani
United issue sue kwa swala la sancho iweke pesa tuchukue streika wa kutupia
Sadick
Ikiwa ni kweli Dzeko anahitajika na Juventus itakuwa habari ya kushangaza kwa timu yenye wakongwe wengi na kusajiri tena wakongwe#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Habari himekaa poa
Sabrina
Rinaldo Koeman anajua anachokifanya
Khadija
Habari njema#meridianbettz
aisha
Habari njema
felister
ni muda wa couthino kuonyesha kiwango chake sasa
Fatina
Mambo mazur
Tatu
Koeman naona anataka kufanya mabadiliko
Zeiyana
Ni vizuri bale angeangalia upande mwengine tu pale Real Madrid akuna inshu
Mwajumah
Habari njema#Meridianbettz
Hidaya
Asante meridianbet kwa makala hii
Hope mwaikuka
Habari imeeleweka
Shafii
Tetesi zimekaa poa Sana.
Theckla
Asante kwa taarifa
Issa
Sancho ajiunge na man u usajil tunaousubir united
Amiri Kayera
Taarifa nzur za usajir
Saupha mohamed
Taarifa safi
Gabriel
Nice update 👍
Rehema
Hii ni habari mzuri
Janeflora malisa
Mambo mazur
Dorophina
Usajili unazidi kunoga tu
Sauda
Koeman anajua kilichomleta
Rose kapinga
Mambo ya soka hayooo!!!
Nasra
Asantee kwa taarifa
Samiah
Asanteee kwa taarifa
David Pere
wakati wa Coutinho kuwaprove watu wrong baada ya kumuongelea vibaya muda mrefu since ametua Barcel