Riyad Mahrez na Aymeric Laporte wote wamepimwa na kukutwa na Covid-19.
Manchester City imethibitisha katika taarifa ya Klabu kwamba wawili hao wameambukizwa virusi na sasa wapo kipindi cha kujitenga (Quarantine).
“Manchester City inathibitisha kwamba, Riyad Mahrez na Aymeric Laporte wamepimwa na kukutwa na Covid-19. Taarifa rasmi ya Klabu hiyo kupitia ukurasa rasmi wa Twitter.

Wawili hao wanatakiwa kujitenga kwa muda usiopungua siku 14 kulingana na sheria za Ligi Kuu Uingereza na Serikali ya Uingereza.
Manchester City inatarajiwa kuanza msimu kwa kucheza na Wolves Septemba 21 na kuna wasiwasi wa kuwakosa nyota hao mpaka watakapopona na kuruhusiwa kurudi uwanjani.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Flomena
Manchester City inathibitisha kwamba, Riyad Mahrez na Aymeric Laporte wamepimwa na kukutwa na Covid-19. Taarifa rasmi ya Klabu hiyo kupitia ukurasa rasmi wa Twitter.
Antony Luseno
Jambo la kusikitisha ila Mungu awajalie wapone haraka
Mwanahamisi
Duuh colona ni noma
Ernest
Balaaa linaanza tena uingereza , Corona tishio sana kwenye sekta zote
Adelta
Coronavirus sio poa kabisa mungu awape wepesi wapone haraka@meridianbettz
magdalena
huu ugonjwa umezidi kuathiri watu kiuchumi kwakweli maana duh Mungu atusaidie
Povel
Balaaa zito covid-19 eeeh mungu tusameheee waja wako
Shani
Covid ni janga kubwa sana kipind hiki
Dorophina
Corona inazidi kuwa noma sana naona hali inarudi kama zamani
Furahav
Majanga
aisha
Corona ni ugonjwa unaotishia dunia
Khadija
Corona ishakuwa tu machi sasa#meridianbettz
Zeiyana
Huu ugonjwa umearibu mambo mengi sana
Tatu
Corona ni janga la dunia
felister
duh
Mwajumah
Duuh corona ni tishio sasa#Meridianbettz
Hidaya
So sad
Hope mwaikuka
Pole sana kwao
Shafii
Duh Mungu atawaponya .
Theckla
Duuuu pole yao Mungu atawaponya
Issa
Wafate tahadhari korona si poa
Amiri Kayera
Corona inatak kutunyima uhondo
Saupha mohamed
Corona atalii
Gabriel
Sad news
Rehema
Majanga
Janeflora malisa
Wafate sheria Corona ni majonz
Sauda
Pole yao
Rose kapinga
Balaa zitoooo
Nasra
Hatarii sana
Tahiya
Mungu awajaalie wapone haraka
David Pere
Balaaa linaanza tena uingereza , Corona tishio sana kwen
warda
Pole yake