Yanga wameanza kampeni ya kusaka Kombe la Ligi Kuu Soka Tanzania Bara kwa kutoka sare na Tanzania Prisons
Goli la Prisons limefungwa na Sabiyanka huku Yanga wakisawazisha kupitia kwa Sarpong.

Aidha, kwa upande wa Mabingwa Watetezi, Simba SC wao wameanza vyema kampeni ya kutetea Taji la Ligi Kuu kwa ushidi
Katika mchezo uliopigwa mapema leo Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu FC
Mabao ya Simba yalifungwa na John Raphael Bocco na Mzamiru Yassin, huku goli la kufutia machozi la Ihefu likifungwa na Mponda

SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Rehema Dickson
This is simbaaaaaaaa simba raha sana
Flomena
Mbona rahaa
Mwanahamisi
Rahaa iliyojee
Antony Luseno
Kwa ushindi wa simba ni mwanzo mzuri katika msimu huu
Adelta
Pongezi kwa simbaaa@meridianbettz
Povel
Congrat Simba kwa kupata point 3
Ernest
Kwa Simba naona mambo yapo vizuri na kwa upande wa Yanga bado wanatakiwa wampe muda Kocha kuwasoma zaidi wachezaji na kujuwa jinsi ya kuwatumia, Manara alisema mapema ili jambo la Yanga kuchelewa kupata kocha. Wapenzi wa Yanga wapunguze mchecheto ligi ndio kwanza imeanza wananafasi ya kujipanga upya.
felister
pongezi zao
magdalena
simba wanazidi kuonesha juhudi zao kila kukicha ila yanga maneno mengi vitendo ni sifuri
pongezi nyingi kwa simba kwa kuonesha mwanzo mzuri na waendelee kuongeza jitihada ili watwae ubigwa kwa mara nyingine
Shani
Yanga ni kwanza tunajikongoja ila si mbaya tunajenga Kikosi tupo poa ila seem kidog inahitaj marekebisho
Furahav
Hatari sana.
Zeiyana
Kwa upande wa yanga wanajitaidi sana sio kama yanga ile ya zamani tumeona mabadiliko mengi sana
aisha
Simba ndio kiboko yao hapana chezea
Khadija
Simba ndio chama kubwa#meridianbettz
Tatu
Tatizo yanga baada ya kufanya mazoez kufuatilia habari za watu mitandaoni ona sasa walivyocheza vibaya
Mwajumah
Simba hawana mpinzan yanga wapambane sana kuifikia simba ao ni wazee wa utopolo tu#Meridianbettz
Hidaya
Simba oyeee
Hope mwaikuka
Simba always wako vzur
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Shafii
Pongezi kwa simba.
Theckla
Yanga wameanza vibaya ila bado Wana nafasi ya kurekebisha kasoro walizonazo
Issa
Yanga tunaimarisha kikosi watakaa tu
Amiri Kayera
Simba wanaendeleza walipoishia
Saupha mohamed
Simba mnyamaa
Gabriel
yanga wanajitaidi sana sio kama yanga ile ya zamani tumeona mabadiliko mengi sana 👍
Rehema
Asante kwa makala
Sabrina
Mambo bado yanga itakaasawa tu
Tumaini kasalile
Mnyama yuko fire kinoma ndo amelianzisha
Janeflora malisa
Simba ni moto
Dorophina
Hongera kwao wana msimbazi
Sauda
Msimbazi wamebahatisha
Rose kapinga
Piga kelele kwa simba akeeeeeee!!!
Nasra
Pongezi kwa simba
JULIANA WILBARD ALEX
Simbaaaaaaa wamejipanga bwana,mwaka huu wataisoma
Neema
Yangaa bado chama kubwa bhana. Inajinga vilivyooo
Neema
Yanga bado chama kubwaa inajipangaa vilivyoo. Kitaeleweka tu
Tahiya
Ni mwanzo mzur kwa mnyama Simba
David Pere
Kwa ushindi wa simba ni mwanzo mzuri katika msimu huu
warda
Simba Kiboko yao