De Laurentiis amepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona klabu ya Napoli imetangaza siku ya Alhamisi.
De Laurentiis alihudhuria kikao kikuu cha Serie A jijini Milan siku ya Jumatano hii inamaanisha mabosi wa vilabu vingine itawalazimu kukaa karantini kwanza kuelekea msimu mpya 2020-21.
Ilikuwa ni mkutano wa kwanza kuonana ana kwa ana baada ya miezi mingi kufanya vikao vya mtandaoni wakati huu wa maambukizi ya virusi vya Corona.
Lakini pia De Laurentiis alikutana na wachezaji pamoja wafanyakazi wengine wa klabu ya Napoli wakati wa mazoezi ya pre-season katika viwanja vya Castel di Sangro

Taarifa ya Napoli ilisomeka: “SSC Napoli inatangaza kwamba rais Aurelio De Laurentiis amepima na kukutwa na COVID-19 baada ya kikao kilicho fanyika siku ya jana.
Msimu mpya wa Serie A unatarajiwa kuanza kurindima Septemba 19, Napoli ataumana na Parma siku itayofuata baada ligi kuanza.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Theonestina
Duuuh majanga
Hidaya
Corona ipo tahadhari muhimu
Furahav
Pole sana.
Mwajumah
Duuh pole yake ila hii corona ni atari sana#Meridianbettz
Hope mwaikuka
So sad
Fatina mfigi
Pole
lombo
duuh bad news
Lydia Emmanuel Magoti
Daa sio poa ugonjwa nchi zawenzetu ugonjwa umekuwa tishio Sana
Sauda
Pole sana Laurentiis.
felister
mmmh
Mwanahamisi
Pole sana
Caroline
Mungu akuponye
Saupha mohamed
Duu atali sana corona
Dorophina
Pole yake Laurentiis
Salma ngende
Duh! Pole yake
Sadick
Corona ina shake sana mifumo na taratibu nyingi sana, itakuwa bonge la issue kama wote waliokutana nao watakutwa na corona#meridianbettz
Povel
Covid 19 janga la dunia
Fatuma kasomo
Duh noma
Genia Sikaluzwe
Duuuuh hatari
Ester jackson
Pole sana corona sio mchezo hata kidogo
Ernest
Habari mbaya sana hapa maana watu wengi pia wanahitaji kufanya Self Isolation ili kuchukua tahadhali
Khadija
corona badi ipo inabidi tuchukue uangalifu#meridianbettz
Sabrina
Corona sio poa
aisha
Pole sana de
Amiri Kayera
Doh Corona inapamba moto
Latifa juma mohamed
Getwell soon , Kinga muhimu na tiba.
Samiah
Corona sio poa
Neema
Pole yake
Shafii
Mungu atamponya.
Gabriel
itakuwa bonge la issue kama wote waliokutana nao watakutwa na corona
Janeflora malisa
Poleeh
Aziza mushi
Pole sana
David Pere
Corona ina shake sana mifumo na taratibu nyingi sana, itakuwa bonge la issue kama wote waliokutana nao watakutwa na corona
Rose kapinga
Corona haipoi!!
Adelta
Pole Sana @meridianbettz
Johnmary joel
Ee jamani pole yake#meridianbett
Fatina
Pole
warda
Basi wengi Wana Corona Walio kuwa kwenye huo mkutano
Issa
Korona ni tatizo sana ulimwenguni na limeathir sana soka na sekta ingine
Theckla
Corona ni hatar Sana ,binafsi nakuombea apone arudi kwenye majukum yake
Tatu
Pole yake
Devotha
Bad newz
Shani
Korona imeathir sana sekta ya michezo kwa ujumla
Saupha mohamed
Corona nomaa
Tumaini kasalile
Asante kwa taarifa
Magdalena
Huu ugonjwA ni balaa