Ronald Koeman amelezea kwanini Barcelona inahitaji kubadili mfumo wao wa 4-3-3 baada ya kufurahia Ushindi wa kwanza akiwa kama kocha mkuu wa Barcelona.
The Blaugrana iliwakung’uta 3-1 timu ya Gimnastic mchezo wa kirafiki katika dimba Estado Johan Cruyff siku ya Jumamosi,mchezo wao wa kwanza tangu Koeman achukue mikoba kutoka kwa Quique Setien.
Lionel Mess akiwa ndiyo nahodha aliiongoza timu kwa mara ya kwanza tangu atangaze nia yake ya kutaka kuondoka klabuni hapo, Barca ilifunga magoli kupitia kwa Ousmane Dembele, Griezmann aliyefunga kwa Penati na Philippe Coutinho na goli la upinzani lilifungwa na Javier Bonilla kutoka timu hiyo ya Segunda B.

Koeman alikibadili kikosi chote kipindi cha pili cha mchezo na alitumia mfumo wa 4-2-3-1 na ameonekana kama atatumia mfumo huo msimu wa LaLiga utakapoanza kurindima.
Meneja huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Uholanzi alielezea uamuzi huo kupitia Barca TV: “Safu ya viungo inautofauti kidogo na msimu uliyopita lakini timu inafanya vizuri na mfumo huu.
“Tunataka tucheze mpira wa kukimbiza sana na kutengeza hatari kwa timu pinzani kwa hiyo tutakuwa na nafasi kubwa ya kufunga.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Dorophina
Tunasubilia tuone msimu huu Ronald ametuandalia nini ndani ya barca
Lydia Emmanuel Magoti
Koeman aja kivingine huni wakati wake yeye kufanya kaz
aisha
Koeman inabid awek mfumo wa kutumia washambuliaj wengi mbele
Tatu
Koeman amekuja na mfumo wake safari hii Barcelona naona itafanya vizuri zaidi
Elika
Kwa mfumo huo Barcelona itakuwa poa sana
Amiri Kayera
Me naona ni mfumo mzur
Hopemwaikuka
Cjaelewa hii
Rehema
Bonge la makala
Furahav
Yuko vizuri
Saupha mohamed
Yupo vizuri
Mwanahamisi
Yuko vizuri
Mwajumah
Ni mfumo mzuri#Meridianbettz
Caroline
Huo mfumo mzuri sanaaa
felister
kwa mfumo huo barca watakua mbali sana
Shafii
Tunamatumaini makubwa na koeman kufanya vizuri msimu huu.
Povel
Ngoj tuone
Ernest
Tunasubiri kwa hamu kuona jipya ndani ya Barca
rama
ngoja tuone mbinu zake za ushindi
lombo
saf
Issa
Fomeshen yake itafanya timu itegemee streika ambae ni hatari lakin kwa barca haitasaidia kwa sababu ina mafowad wengi
Sabrina
Ndio mfumo anao uamini
Sauda
Mabadiliko muhimu
Khadija
Mabadiliko muhimu#meridinbettz
Nasra
Tunasubir
Theckla
Mpango mzuri
Neema
Mabadiliko pia ni mazuri
sylvester
Kila kocha anakua na mfumo wake nina imani na yy anaimani mfumo huu ndio utaisuka Barcelona Mpya,All the best
Samira
Tusubiri tuone msimu huu kama atafanya vizuri
Latifa juma mohamed
Gud idea tunasubir mengi mabadiliko chanya kutoka kwa Barcelona chini ya koeman .
Tumaini kasalile
Safi sana
Johnmary joel
Tunasubili kuona mabadiliko#meridianbett
warda
Huu Mfumo wake wa 4-2-3-1 Utamletea Mafanikio kwa nilivyoona mabadiliko ya kipindi cha pili cha mchezo#Meridianbettz
Ester jackson
Sisi tunataka vitendo sio maneno
Flomena
Unaweza kumsaidia huu mfumo wake
Zeiyana
Tuna subiri tuone Barcelona ile ya zamani
Fatina mfigi
Tunasubir tuone mabadiliko
Janeflora malisa
Ipoje hii mi sijaelew
Fatuma kasomo
Kwa mfumo huu watakua mbali
Theonestina
Safi sana
Gabriel
Mfumo wake mzur sana
Genia Sikaluzwe
Iko Poa
magdalena
koem huo mfumo wake ni noma tunataka kuona mambo yake ya maajabu msimu huu
Samiah
Mmmh
David Pere
Tunamatumaini makubwa na koeman kufanya vizuri msimu huu.