Tetesi zinasema Tottenham huenda wakamtumia kiungo wa kati wa England Dele Alli, 24, chambo wakati wakijaribu kumrejesha Gareth Bale, 31, kutoka Real Madrid.
Everton huenda wakakubali ofa kwa ajili ya wachezaji kadhaa, akiwemo winga wa England Theo Walcott, 31, winga wa Nigeria Alex Iwobi, 24, na mshambuliaji Muitaliano Moise Kean, 20, wakati wakitarajia kuongezea nguvu kikosi cha Carlo Ancelotti.

Mkataba wa miaka mitatu wa mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang kuichezea Arsenal una thamani ya pauni milioni 55 yakiwemo marupurupu.
Arsenal bado wanapanga kuwaongeza wachezaji zaidi kwenye kikosi chao, huku wakiwalenga kiungo wa kati wa Atletico Madrid Thomas Partey, 27 na kiungo mchezeshaji wa Lyon, Mfaransa Houssem Aouar,22, miongoni mwa wachezaji wanaowataka.
Bayern Munich wako tayari kurudisha shauku yao kwa ajili ya winga Callum Hudson-Odoi, 19, huku wababe hao wa ligi ya mabingwa Ulaya wakiwa na matumaini kuwa Chelsea itapokea ofa yao.

Barcelona itajaribu kumsajili mchezaji wa nafasi ya ulinzi anayekipiga Manchester City Eric Garcia,19, msimu huu ikiwa wataweza kuwauza walinzi wa kati Samuel Umtiti,26, na Jean-Clair Todibo,20.
Tetesi zinasema Juventus wanakumbana na wakati mgumu kuhusu kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez, ambaye anapata changamoto kupata pasi ya Italia kwa haraka.
Tetesi zinasema Chelsea inaelekea ukingoni kukamilisha taratibu za kumsajili Msenegali Edouard Mendy, 28.
Inter Milan bado wanamshawishi kumpa mkataba wa kudumu beki wa Chelsea Emerson Palmieri,26. lakini West Ham pia inamtolea macho wakitaka akichezee kikosi hicho kwa mkopo.

Tetesi zinasema Kushindwa kwa Roma kukubaliana Manchester United kuhusu ada ili kumpata beki wa kati Chris Smalling kutaifanya klabu hiyo ya italia kufikiria kuhusu mbadala.
Arsenal imekataa ombi la Sheffield kumnyakua mshambuliaji Folarin Balogun. Klabu hiyo inaaminika kutoa ofa ya pauni milioni 3 na marupurupu mengine lakini washika bunduki wanataka dili ya karibu pauni milioni 15 kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye miaka 19, ambaye amechezea vikosi vya vijana vya Marekani na England.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Elika
Huo mkataba tu wa Aubameyang ni noma sana
Mwajumah
Duuh sio kwa mkataba huo wa million 55 na marupurupu juu jamn bonge la shavu ilo#Meridianbettz
Dorophina
Everton bado hawajakamilisha usajili tu
Zeiyana
Arsenal wanataka kutuonesha maajabu yao msimu huu sio kwa usajili huo
Shani
Uko vizur huu sasa utakua uzi mpya!!
Adelta
Mkataba wa aubameyang Ni hatarii!!#meridianbettz
Mwanahamisi
Duuh sio kwa mkataba huo pambe tuu
Caroline
Asanteni kwa taarifa
Fatina mfigi
Adrenal mmetisha sanaa
magdalena
arseal wamepata mchezaji mwenye kiwango kizuri sana kimpira
aisha
Arsenal msimu huu watafanya maajabu
Nasra
Asantee kwa makala
Angelina
Arsenal wanakuja kivingine msimu huu
Tumaini kasalile
Asante kwa taarifa
Shafii
Zimekaa poa.
Salma ngende
Habari nzuri
Sabrina
Chelsea nao bado wanatapatapa na usajili
Rama
Vizuri sana
Sauda
Everton siyo kwa mkataba huo
Samira
Chelsea mi naona tayari imeshajijenga wangejikita kwenye mazoezi zaidi waachane na mambo ya usajili tena
Janeflora malisa
Iko bomba sana
Samiah
Iko poa sanaaa
Saupha mohamed
IPO vizurii
Gabriel
Imekaa poa sana Arsenal bado wanapanga kuwaongeza wachezaji zaidi kwenye kikosi chao, huku wakiwalenga kiungo wa kati wa Atletico Madrid Thomas Partey, 27 na kiungo mchezeshaji wa Lyon, Mfaransa Houssem Aouar,22, miongoni mwa wachezaji wanaowataka
Hopemwaikuka
Zko miaa
Neema
Habari nzuri
Khadija
Zimekaa poa#meridianbettz
Amiri Kayera
Nasubir kuon balle atatok Madrid
Rose kapinga
Safi tuu
Theonestina
Asante meridianbet kwa makala nzuri
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema
Theckla
Naona wamejipanga
Rehema
Iko poa
Njiku
Asante
Ester jackson
Safii sana arsenal
Ernest
Makala nzuri sana, Asante Meridianbet kwa updates kali za michezo
felister
duh makal nzuri sana
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwa Arsenal
Tatu
Usajili unazidi kupamba moto
David Pere
Chelsea mi naona tayari imeshajijenga wangejikita kwenye mazoezi zaidi waachane na mambo ya usajili tena
Povel
Nice information