Mechi Kali za Leo

Jumapili kwenye ulimwengu wa michezo ratiba zinaendelea kama kawaida ambapo ligi mbalimbali zinaendelea kukinukisha.

Hizi hapa ni ratiba zao namna zilivyo tukianza na Bongo, Ligi Kuu Bara.

Vodacom Premier League

Mbeya City v Azam FC, majira ya saa 8:00 mchana, Uwanja wa Sokoine.

Coastal Union v Dodoma Jiji, Uwanja wa Mkwakwani, majira ya saa 10:00 jioni.

Simba v Biashara United, saa 1:00 usiku, Uwanja wa Mkapa.

Premier League

S.ampton v Spurs, majira ya saa 8:00 mchana.

Newcastle v Brighton, majira ya saa 10:00 jioni.

Chelsea v Liverpool, saa 12:30.

Leicester v Burnley, saa 3:00 usiku.

Bundesliga

RB Leipzig v Mainz, saa 10:30 jioni.

Wolfsburg v Leverkusen, saa 1:00 usiku.

Serie A

Parma v Napoli, saa 7:30, mchana.

Genoa v Crotone saa 10:00 jioni.

Sassuolo v Cagliari, saa 1:00 usiku.

Juventus v Sampdoria, saa 3:45, usiku.

Ligue 1

Nice v PSG, saa 8:00 mchana.

Brest v Lorient, saa 10:00 jioni.

Metz v Reims, saa 10:00 jioni.

Montpellier v Angers saa 10:00 jioni.

Strasbourg v Dijon FCO, saa 10:00 jioni.

Nantes v S,Ettienne, saa 12:00 jioni.

Marseille v Lille, saa 4:00 usiku.

La Liga

Huesca v Cadiz, saa 11:00 jioni.

Granada v Alaves saa 1:30, usiku.

Sociedad v Madrid, saa 4:00 usiku.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

36 Komentara

    Mechi Kama zote nikuweka pesa kuvuna pesa Na Odds zakijanja

    Jibu

    Mechi kali sana sio za kukosa

    Jibu

    Ratiba bomba sana hii

    Jibu

    Mechi za pesa Kama zote @meridianbettz

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

    Mechi subiriwa ni kati ya Chelsea na liver

    Jibu

    tukutane mkapaaa tukaone simba anavoumiaa

    Jibu

    Ratiba imekaa pow sana na imeeleweka#Meridianbettz

    Jibu

    Pesa hapa ipo

    Jibu

    Ratiba nzuri

    Jibu

    Fixture imetulia

    Jibu

    Mechi za leo zimetulia

    Jibu

    ratiba nzuri iko fresh

    Jibu

    Leo kitaeleweka tuu

    Jibu

    Ni kutupia jamv

    Jibu

    Ratiba iko poa sana

    Jibu

    🔥🔥

    Jibu

    Leo ushindi n magoli tu maana mech zinafungana sana

    Jibu

    Imeeleweka hyo

    Jibu

    Parma na napoli ni bonge la mech

    Jibu

    Mechi zote kali kubet Tu hapo

    Jibu

    Mechi za pesaa izooo

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mambo ni moto

    Jibu

    Leo pesa ipo

    Jibu

    Ratiba iko poaw

    Jibu

    Leo ushindi n magoli tu maana mech zinafungana sana

    Jibu

    mechi zilikuwa kali sana za kukata na shoka

    Jibu

    Mnakwenda sana na wakati#Meridianbettz

    Jibu

    Ratiba imesomeka

    Jibu

    🔥🔥

    Jibu

    Ratiba poa

    Jibu

    Zimetulia

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.