Zlatan Ibrahimovic ameanza poa msimu wake wa Serie A wakati AC Milan wakiibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi Bologna.
Ibrahimovic aliziona nyavu mara mbili, kwa kichwa makini na kwa mkwaju wa penalti na kuwazawadia ushindi wa kwanza kwa Milan, huku jumla ya magoli yake kwa msimu huu mpya yakiwa yanasomeka magoli 3 kwa michuano yote.
Staa huyu nusura afunge magoli matatu, Hat-Trick. Ibra anasema kuwa angeweza kuona nyavu zaidi kama angekuwa kijana.
“Tumeshinda, na ningeweza kufunga magoli mengi, kama ningekuwa na miaka 20, ningefunga mawili zaidi. Mimi siyo mzee, nipo kama Benjamin Button, ninaanza mzee na kufa kijana”

“Tukiacha utani pembeni, timu imefanya vizuri, hatujawa katika asilimia 100 na tulifanya makosa ambayo mara nyingi tunayaepuka, lakini inatoa ishara nzuri.”
Zlatan ameongeza kuwa anapenda zaidi kuwa na majukumu, na kadri anavyokuwa na msukumo zaidi, inakuwa ni motisha kwake kufanya vizuri ili watu waachane na kuongelea umri wake. Anasema anapenda kuchukuliwa kama mchezaji mwingine mwenye miaka 20 na kutimiza majukumu yake.
Msimu uliopita, Ibrahimovic aliziona nyavu mara 10 kwenye Serie A, tangia aliporejea Milan na kuwasaidia Milan kwa nafasi yake.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


magdalena
ibrahimovic uwezo wa kufunga zaidi bado anao tu ata kama umri umeenda kwenye soka bado yupo vizuri sana
Lydia Emmanuel Magoti
Nikweli anacho kisema Movic kwasasa umli ushaenda nakasi ishakata ndomana anaongea ivyo Movic ila namkubali Sana jembe huyo
Caroline
Umri umeenda lakini bado yupo poa.
Zeiyana
Nia yake Ibrahimovic kuiweka timu yake kwenye safu nzuri na ndio maana hanajituma ili ndoto yake hifikie
Angelina
Bado yuko fiti
Tatu
Ibrahimovic umri mkubwa lkn anauwezo mkubwa kucheza na bado yupo fiti
Dorophina
Ibrahimovic umri umeenda lkn bado yupo fiti angekuwa kijana ingekuwaje sijui
Sadick
Ibrahimovic anatukumbusha kwamba old is gold#meridianbettz
Antony Luseno
Mchezaji mahiri ambaye anazeeka na mpira wake
Neema
Anachosema Ibrahimovic ni sahihi. Nahisi angerudi ujananii angefanya mapinduzii makali sana.ila ndohana jinsi umrii unamtupa mkono
Amani
yupo fiti angekuwa kijana ingekuwaje sijui
Salma ngende
Bado yupo vizuri
Gabriel
Ibramovic umri umeshaeenda sana kashazeeka tena
Venerose
Ibramovic yuko vizuri sana ingawa umri wake umeenda
Elika
Bado anauwezo
Faraja molell
Nkweli ila umri ushakua jion
Janeflora malisa
🔥
Ernest
Immobile na CR7 Wajipange mzee Baba kaanza vizuri
jullie
apambane tu
Nasra
Kikubwa kiwango tu
Hopemwaikuka
True say
Hidaya
Ng’ombe hazeeki maini
Ester jackson
Haha hahaaa kila kitu na muda wake
Rose kapinga
Hapo ndipo unapofanya maneno ya wahenga yaaminike zaidi kwamba ng’ombe hazeeki maini!!!
Issa
Uyo ndio kadabra ni fowad makin sana anapopata nafas
lombo
duuh
aisha
Ibrahimovic namkubali sana hasa anapopata chance hawezi kuichezea
Amiri Kayera
Umli umeenda ila kiwango chake bado kipo
Saupha mohamed
Bado yupo vizuri
Sabrina
Nikweli ila ata hivyo kipindi chake kimeisha
Adelta
Bado yupo vizuri
felister
ni kweli bado yupo vizuri
Sauda
Bado analipa
Frank P
Umeshakuwa mzee funga kidogo Milan kinawatosha
Latifa juma mohamed
Japo umri umeenda lkn anatisha
farida ahmadi
Mbona bado Yuko vizuri ibramovic
Mwajumah
Bado yupo vizur
Fatina mfigi
Bado yuko safii!!
Samiah
Yupo vzr
David Pere
Nikweli anacho kisema Movic kwasasa umli ushaenda nakasi ishakata ndomana anaongea ivyo Movic ila namkubali Sana jembe huyo