Mshambuliaji wa Kimataifa wa Uruguay Luis Suarez ameshtumiwa na vyombo vya Uhamiaji nchini Italia kuwa aliingia kufanya mtihani wa Uraia akiwa na majibu.
Kwa mujibu Sky Italia imeripoti kuwa Suarez alikuwa katika mpango wa kupata uhamisho wa kujiunga na Juventus na ilibidi kwanza afanye mtihani wa kawaida ili kujua uwezo wake katika kutumia lugha ya Kiitaliano ili aweze kukizi kigezo cha kupewa pasipoti ya Italia.
Sasa kulingana na uchunguzi wa awali imebainika kuwa maswali yaliyokuwa katika mtihani huo tayari Suarez alikuwa ameyapita mapema na hapo ndipo alipotiliwa shaka kwani hawezi kuongea neno lolote la Kiitaliano.
Juventus tayari wamekamilisha nafasi za wachezaji wa kigeni ambao hawatoki katika mataifa ya Umoja wa Ulaya kwa msimu huu na Suarez wangeweza kumsaini tu ikiwa angepata uraia wa Italia.
Ripoti zinadai pande zote mbili zilikuwa tayari zimekamilisha makubaliano binafsi lakini dili hilo halikuweza kufanikiwa kwa sababu ya uraia.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Issa
Suarez inabid arud akomae barca tu
lombo
hatar
aisha
Suarez nafasi yako ipo barcelona rudi tuu mzee baba
Sadick
Hili ni zuri kwetu kwamba mgeni yoyote anayekuja kufanya kazi nchini lazima ajue Kiswahilli ili kurahisisha mawasiliano na wenyeji#meridianbettz
Amiri Kayera
Suarez amekwama
Rehema
Bonge la makala
Saupha mohamed
Suarez unakwama wapi
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Hopemwaikuka
Kuangaika tu na yy si abak tu kwenye club yake
Neema
Kwa hiyo Suarez akaona arahisishe mambo kumbe kabumaa. Hii sio poa
Sabrina
Achana nao hao juve rudi barca tu
felister
duh
Dorophina
Dhaa dili limefeli kirahisi sana inabidi Suarez abakie tu Barca haachane na juventus
Mwanahamisi
Hatari
Sauda
Kama vipi abaki kwenye Clab yake
Frank P
Ile wish yake haikutimia alitamani sana kwenda juve ila now ni muatletico tumuombee afanye vema
Mwajumah
Suarez anakwama wap
Caroline
Suarez ayo mashtaka Kama ni kweli sio poa
Fatina mfigi
Duuh
Tahiya
Duuh Sijui itakuwaje
Salma ngende
Hatari
Angelina
Kazi kweli
magdalena
suarez barca ndo panamfaa anaangaika tu bure
Gabriel
Suarez ameshafel tena
Zeiyana
Suarez abaki tu Barcelona
Khadija
Abaki tu Barcelon
Rose kapinga
Mfa maji haishi kutapatapa!!
Ernest
Binafsi hapa napata sitofahamu, Kwani mtihani wenyewe ulikuwa katika Lugha gani?? Nilidhani Suarez alitakiwa kuanza Darasa baadae baada ya kusajiliwa ili aweze kuwasiliana na jamii inayomzunguka huko Italia lakini mtihani kabla wakati ametokea Spain hii kitu hakipo sawa kuna haja ya kuangalia hili
Tatu
Suarez Barcelona ndio panamfaa
David Pere
Kwa hiyo Suarez akaona arahisishe mambo kumbe kabumaa. Hii sio poa