Fabinho alikuwa ni “Jini” katika ushindi wa 2-0 wa Liverpool dhidi ya Chelsea siku ya Jumapili hii ni kwa mujibu wa Alisson.
Joe Gomez na Joel Matip walikuwa majeruhi, hivyo kupelekea Fabinho kuja kucheza kama beki wa kati akisaidiana na Virgil van Dijk wakiwa ugenini darajani na kocha Jurgen Klopp alielezea ubora wake.
Mbrazili huyo alikuwa ni ufunguo na kuisadia Liverpool kutoruhusu wenyeji kupata goli katika lango la majogoo hao wa London kwa kuidaaka penati iliyopigwa na Jorginho.
Wakati Sadio Mane akifunga magoli mawili, kazi ilibaki kwa Fabinho kuwazuia wachezaji Timo Werner na Kai Harvetz ambao ni wageni kutoleta madhara langoni kwa Alisson.

“Alikuwa ni Jini,” Alisson aliiambia tovuti rasmi ya klabu. “Ilkuwa haiaminiki lakini nilitarajia hayo kutoka kwake.
“Kiukweli ni mchezaji makini sana ana kaba, ana cheza pasi kwa pasi hiyo ilihitajika sana dhidi ya Werner na Harvetz na wachezaji wengine kwa kiwango bora kabisa, kwa hiyo nampongeza na kwa upande wangu yeye ndiyo alikuwa nyota wa mchezo.
Mchezo huo uliyopigwa London Magharibi ulidhihirisha ni jinsi gani timu ya Jurgen Klopp imedhamilia kutetea ubingwa wake baada ya kucharaza Leeds United ambao wamepanda daraja msimu huu kwa 4-3 katika dimba la Anfield.
Liverpool watakabiliana na Arsenal siku ya Jumatatu, Arsenal ambao pia wameshinda michezo yote miwili ya ufunguzi kwa kufunga Fulham na West Ham.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Nasra
Kweli hii
Hopemwaikuka
🙊
Angelina
Alitisha saana
Ester jackson
Hamna kitu hapo Chelsea kilicho waangusha ni kepa ambaye anarudia makosa yale yale kama Chelsea wangempumzisha kepa kumuweka langoli goli kipa namba 2 au watafute kipa mwingine mana timu iko vizuri sana kwa wachezaji kama wakipata kipa bora watakuwa katika nafasi zuri na kocha frenk ataokoa kibarua chake kutoka kwa Chelsea.
Lydia Emmanuel Magoti
Alifanya vizuri Sana na hali ipambania Liverpool alijitaidi Sana mpaka Liverpool kupata magoli 2 usifanye masiala bek kuzui mipila isifike kwenye goli lao kushambuliwa kajitaidi sana
magdalena
mchango wake ulikuwa mkubwa sana siku ile alionesha maujuzi yake yote kuhakikisha liver wanapata ushindi
Tatu
Kwa upande wa Liverpool wao wako vizuri kuichezaji
Gabriel
Liverpool kupata magoli 2 usifanye masiala bek kuzui mipila isifike kwenye goli lao kushambuliwa kajitaidi sana
Rose kapinga
Mchezaji mzuri sana mwenye kiwango cha juu,na siku zote hafanyi makosa uwanjani anapopata nafasi nzuri!!!
Zeiyana
Kiukweli tu Chelsea hawauwezi mziki wa Liverpool bado wajipange sana
Ernest
Chelsea walicheza chini ya kiwango ndio mana Liver wameonekana Bora zaidi
Issa
Lilikiwa jini kweli ila alkichafua pale kati
Sadick
Kimsingi Liverpool pekee ndio ilicheza mpira kipindi chote cha pili na Chelsea ilifanya kazi moja tu kuzuia#meridianbettz
lombo
saf
aisha
Liverpool hawakoseagi pia hawana kazi mbovu
Amiri Kayera
Fabinho alikua kweny kiwango Bola
Rehema
Good
Saupha mohamed
Liverpool wapo vizuri
Janeflora malisa
Nice
Sabrina
Liverpool namba nyengine
marry
yuko vzr
Neema
Liverpool wanatufurahisha sana
felister
Tena hizo ndogo wangechapwa ata name kama barcelona
Dorophina
Chelsea ni wapo vizuri lakini Kuna makosa wamefanya ndio yaliyopelekea kusababisha liver kupata ushindi
Mwanahamisi
Safi
Sauda
Fabinho yupo kwenye kiwango kizuri
Frank P
Fabi kakipiga CB na kuiweza mpaka Calsburg kumpa 10/10 man of the match so mchezo na yeye natural ni midle alitisha sana
Latifa juma mohamed
Nice
Mwajumah
Safi
Caroline
Allison ni mchezaji makini Sana..na anakaba sanaa
Fatina
Nice
Salma ngende
Ukweli mtupu
Samiah
Safi
David Pere
Hamna kitu hapo Chelsea kilicho waangusha ni kepa ambaye anarudia makosa yale yale kama Chelsea wangempumzisha kepa kumuweka langoli goli kipa namba 2 au watafute kipa mwingine mana timu iko vizuri sana kwa wachezaji kama wakipata kipa bora watakuwa katika nafasi zuri na kocha frenk ataokoa kibarua chake kutoka kwa Chelsea.