Arsenal imethibitisha kumsajili golikipa Alex Runarsson kutoka klabu ya Dijon ya Ligue 1 kwa dili inayokadiliwa kuwa na thamani zaidi ya £1m.
The Gunners walikuwa wakihitaji golikipa baada ya mlinda mlango Emiliano Martinez kutimkia Aston Villa wiki iliyopita.
Martinez alikuwa katika kiwango kizuri mwishoni mwa msimu uliyopita na kuisadia Arsenal kutwaa taji la FA Cup na Community Shield, lakini ameondoka kwenda Aston Villa ambako atapata kucheza katika kikosi cha kwanza.
Akiwa na Bernd Leno sasa golikipa namba moja, Runarsson mwenye umri wa miaka 25 ameletwa ndani ya kikosi kusaidia timu ya Arteta.
“Tunataka tutengeneze timu yenye ushindani na tunaangalia namna ya kumleta Alex katika eneo la kulinda goli,” Meneja wa Arsenal Arteta, alisema.
Runarsson ambaye ni raia kutoka Iceland amepangiwa kuvaa jezi namba 13 akiwa Gunners.
Kiongozi wa benchi la ufundi la Arsenal edu aliongeza: “Tungependa kumkaribisha Alex katika kikosi chetu,tumekuwa tukimfuatilia kwa kipindi kirefu na kutokana uchambuzi wetu tumeona atatufaa katika timu yetu.
The Gunners wameendeleza pale walipoishia msimu uliyopita, kwa kushinda michezo miwili yote ya ufunguzi katika Premier League kwakuifunga Fulham na West Ham.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


magdalena
goalkeeper makini sana fanya kazi kijana
Janeflora malisa
🔥
Venerose
Arsenal wamefanya Jambo jema
Tatu
Arsenal wamepata golikipa makini sana
Ernest
Kazi imebaki kidogo tuu kwa Arteta kuziba mapengo yaliyosalia
Tahiya
Arteta anaimarisha kikosi chake
Dorophina
Arteta amepata golikipa mzuri sana
Hopemwaikuka
Imekaa poa sana
Zeiyana
Habari njema kwa mashabiki wa arsenal
jullie
yuko vizuri sana
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana golikipa yupo vizuri piga kazi baba
Caroline
Arteta bado ana kazi ya kunoa kikosi
Hidaya
Pambana kijana uko vizuri
Nasra
Yuko vzuri Sana
Shan
Ni safi kwa kuimarisha kikosi
Angelina
Goodnews
Ester jackson
Ni habari nzuri ila bado kukioanga kikosi vizuri na kocha kuwa na mbinu mbadala mana game inayokuja wanakutana na Liverpool
Gabriel
Arsenal kwenye usajil hawajawai kukosea kabisa
Rose kapinga
Usajili mzur kikosi kinazidi kuimarika!!
Issa
Arsenal wamejizatit kurud zama zao
Sadick
Amenunuliwa kwa bei sawa na bure. Martinez alikuwa mahiri langoni sidhani kama Runarsson atakuwa mbadala sahihi#meridianbettz
lombo
habar njema
aisha
Arsenal wamejipanga vyema kurudi enzi zao
Amiri Kayera
Arsenal wamesajir San msim huu
Neema
Arsenal hawana mpinzani
Rehema
Yuko vizuri
Saupha mohamed
Arsenal wamefanya jambo zuri
Sabrina
Arsenal wako makini kwenye usajili
felister
naona arteta msimu huu hataki kabisa masihara
Mwanahamisi
Yuko vizuri sana
Sauda
Arsenal wameula
Frank P
Mzuri for replacement
Latifa juma mohamed
Golikipa yupo vzr
Mwajumah
Arsenal wamefanya Jambo zuri
Fatina
Arsenali mmefanya Jambo zuri
Salma ngende
Kikosi kitakuwa kizuri
Samiah
Kikosi makini
David Pere
Kazi imebaki kidogo tuu kwa Arteta kuziba mapengo yaliyosalia