Nyota Arturo Vidal amesaini kandarasi yake ya miaka miwili na Inter, pamoja na chaguo la kuongeza mwaka wa tatu, baada ya kuwasili kutoka Barcelona bure kama mchezaji huru.
Iliripotiwa awali kwamba Barca walitaka €1m kumwachilia kiungo huyo, lakini badala yake mpango huo ulifanywa kwa bonasi tu.
Alitua Jumapili katika Uwanja wa Ndege wa Linate, na kufanyiwa vipimo vyake Jumatatu asubuhi na kukamilisha kusaini mkataba huo na Inter mchana.
Tangazo rasm bado halijatolewa na linatarajiwa kutolewa leo.
Huku ni kurejea Serie A kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile, 33, aliyekuwepo na Juventus kutoka 2011-15.
Alifanya kazi na kocha Antonio Conte wakifanikiwa kushinda mataji matatu mfululizo ya Serie A na ameungana tena na bingwa huyo huko San Siro.
Arturo Vidal aliwahi kuchezea vilabu vya Bayern Munich na Barcelona, ambaye alijiunga. Alicheza mechi 124 za Serie A kwa Juve, akifunga mabao 35 na kutoa asisti 22.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Dorophina
Habari njema kwa inter wamepata mchezaji mzuri sana
magdalena
inter wamepata kijana mashughuli sana katika mpira
Lydia Emmanuel Magoti
Ivi uko nchi za wenzetu dilisha lausajili bado alija fungwa naona usajili bado unapamba moto lnter wamesajili kifaa
Shan
Wamepa mtu mahiri awajafanya kosa!!!
Gabriel
Arturo Vidal aliwahi kuchezea vilabu vya Bayern Munich na Barcelona, ambaye alijiunga. Alicheza mechi 124 za Serie A kwa Juve, akifunga mabao 35 na kutoa asisti 22 hivyo ni mchezaji mzur sana na ninamatumain sana kuwa atafanya vzur sana akiwa inter
Venerose
Inter wamepata jembee sio masihara
Faraja molell
Ni mtu mahiri
Elika
Kijana yuko vizur
Janeflora malisa
Vzr
Ernest
Arturo ni kama karudi nyumbani sababu anauzoefu mkubwa kwa Serie A
Tatu
Vidal anatafa maajabu inter
jullie
yuko poa
Zeiyana
Vidal yupo vizuri sana tusubirie kuona maajabu yake clabuni hapo
Caroline
Hongera zakeee
Hopemwaikuka
Arturo namuelewa Sana inter wamepata jembe
Hidaya
Habari njema kwa mashabiki wa inter
Nasra
Habar njema
Angelina
Goodnews
Ester jackson
Safii sana ila apunguze ukorofi
Sadick
Euro million 1 ni kama amesajiriwa bure. Sioni kama atafanya chochote kikubwa kwa umri waka wa miaka 33#meridianbettz
Issa
Ni kama vidal soka limefika mwishoatundike daruga
lombo
saf
aisha
Arturo yuko vizuri ila jamaa ni mkorofi apunguze basi
Amiri Kayera
Usajir mzur
Rehema
Safi
Saupha mohamed
Usajili mzuri
Sabrina
Inter wamejia kilenga
felister
Vidal ni mchezaji mzuri ana uzoefu ila tu anacheza lavu sana
Mwanahamisi
Kijana yupo vizuri
Sauda
Inter wamepata jembe
Frank P
Kazidiwa hadi na samatta hahaha
Mwajumah
Hongera zakee
Fatina mfigi
Usajili mzuri
Salma ngende
Mtu mahili
David Pere
Ivi uko nchi za wenzetu dilisha lausajili bado alija fungwa naona usajili bado unapamba moto lnter wamesajili kifaa