Tetesi zinasema Manchester United wako kwenye mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Ousmane Dembele, 23, kutoka Barcelona. Japo vyanzo vingine kutoka United vimepuuza kuhusishwa huko na Dembele.
Paris St-Germain wana uhakika kwamba kiungo wa Tottenham Hotspur na England Dele Alli, 24, anataka kujiunga na klabu hiyo kwa mkopo wa msimu mzima.
Mlinzi wa Norwich City Muingereza Max Aarons (20) amekubali mkataba wa miaka mitano kujiunga na Barcelona.

Tetesi zinasema Kiungo wa Klabu ya Arsenal na Ufaransa Matteo Guendouzi, 21, ameomba kuondoka klabuni hapo.
Borussia Dortmund wana uhakika winga wa England Jadon Sancho, 20, hataondoka kwenye klabu hiyo msimu huu wa usajili, licha ya kuhusishwa na Manchester United.
Tetesi zinasema Newcastle United wanamtaka mshambuliaji wa Napoli na Poland, Arkadiusz Milik, 26.
Southampton wako kwenye mazungumzo ya kumsajili kiungo wa kati raia wa England Tom Davies kutoka Everton.
Arsenal imepata mpinzani wa klabu inayoshiriki ligi ya mabingwa Ulaya, katika mbio zake za kumwania kiungo wa Lyon na Ufaransa Houssem Aouar, 22.

Tetesi zinasema kipa wa Argentina Sergio Romero, 33, anataka kuondoka Manchester United.
Tetesi zinasema mlinzi wa Chelsea mjerumani Antonio Rudiger, 27, anaangalia hatma yake klabuni hapo baada ya kuachwa kwenye kikosi cha kwanza.
Mlinzi wa Bayer Leverkusen, mjerumani Jonathan Tah, 24, hayuko kwenye orodha muhimu ya wachezaji wanaowaniwa na Leicester City.
Fulham wanajaribu kumsajili kwa mkopo winga wa zamani wa Everton na Charlton Ademola Lookman. Muingereza huyo mwenye umri wa miaka 22 kwa sasa anachezea RB Leipzig.
Tetesi zinasema kiungo wa Manchester United na England Jesse Lingard, 27, hatajiunga na Tottenham licha ya kuhusishwa kwake kutaka kuhamia timu hiyo.

Mashetani wekundu The Red Devils kumuongezea mkataba wa hadi mwaka mmoja Lingard ili kutunza thamani yake ya £25m.
Tetesi zinasema Winga wa Southampton, raia wa Morocco Sofiane Boufal, 27, anawaniwa na klabu ya Ufaransa ya Angers.
Winga wa Wales Daniel James, 22, huenda asiondoke Manchester United msimu huu, licha ya kuhusishwa na Leeds United.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Dorophina
Dembele akienda man u itakuwa dili poa sana kwa upande wao wote
farida ahmadi
Kambi popote dembele
Adelta
Kikubwa maslai
Fatuma kasomo
Gud news
Nasra
Man u watakuwa wamepata jembe
Mwajumah
Kambi popote tu dembele
Caroline
Asante kwa taarifa
Fatuma kasomo
Kambi popote
Angelina
Kambi popote kikubwa maslahi
Sauda
Maisha popote
Fatina mfigi
Kikubwa masilai
Salma ngende
Habari nzuri
Rose kapinga
Usajili unaendelea!!!
Latifa juma mohamed
Kikubwa maslahi.
Samiah
Nihabari njema
magdalena
united hawawezi kumuachia lingard sababu wana pengo kubwa sana la kukosa wachezaji
Hopemwaikuka
Zmekaa poa
Zeiyana
Ni kweli man u wanaitaji wasajili wachezaji mwenye uwezo mkubwa ili warudishe timu yao kwenye ubora kama awali
Gabriel
Imekaa poa sana 👍
Saupha mohamed
Kikubwa maslai
Neema
Kambi popote
aisha
Man u hapo mkimpata huyu jamaa mtakua mmeuwaaaa
Amiri Kayera
Taalifa nzur za usajir
Khadija
Habari njema
Issa
Lingaard amekuw na msimu mbovu united ila wampe muda azid kuimarisha kiwango chake
Sabrina
Sio mbaya Dele Alli akitua PSG
felister
kikubwa maslai
Rehema
Good
Ernest
Dortumnd wangejuwa ni kiasi gani wanawatesa Man U, Sema kiukweli Sancho anaipenda Dortumund anaona anaweza fanya makubwa akiwa na Dortmund na sio Manchester
Lydia Emmanuel Magoti
Zime kaa poa
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Tatu
Popote kambi
David Pere
united hawawezi kumuachia lingard sababu wana pengo kubwa sana la kukosa wachezaji