Hatma ya Gianluigi Donnarumma ni kukamilika kwa mazungumzo ya mkataba.
Klabu ya AC Milan ina nia ya kufanya mazungumzo juu ya mkataba mpya wa golikipa Gianluigi Donnarumma, lakini hawana haraka ya kufanya mazungumzo hayo kwa sasa.
Kwa mujibu wa mkurugenzi wa soka wa Milan, Paolo Maldini, klabu itafanya kila inaloweza kukamilisha mazungumzo ya mkataba mpya, isipokuwa wameamua kutofanya kwa haraka sana.

Golikipa huyu alianza kuichezea klabu ya Milan mapema zaidi akiwa na umri wa miaka 16, mwaka 2015-2016. Tayari ameshacheza mechi zaidi ya 200 huku mkataba wake wa sasa ukiwa mbioni kuisha mwakani.
klabu imethibitisha kuwa mazungumzo ya kuhakikisha nyota huyu anasalia klabuni hapo hata baada ya msimu huu kuisha yanaendelea. Klabu inamtambua golikipa huyu mwenye miaka 21 kuwa sehemu muhimu kikosini hapo.
Kama klabu, wana imani kuwa nyota huyu anakuwa bora mechi baada ya mechi, na anaendelea kuwa na utaalamu zaidi kadri siku zinavyozidi kwenda.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Dorophina
Ac milan wangembakiza tu dunnaruma mbona yupo vizuri
Adelta
Abaki tu yupo vizuri
Zeiyana
Milani wametambua humuimu wa mlinda mlango wao na ndio maana wanampango wa kumuongeza mkataba hii habari nzuri kwa mashabiki wa ac milani
Angelina
Aendelee tu hapo hapo
Mwajumah
Ac millan wangembakiza tu dunnaruma
Venerose
Wamuache tu hapo hapo
Fatina
Bora abaki tu hapo hapo
Hopemwaikuka
Kubalianen bwana
aisha
Kama vipi abaki tuu hapo hapo
magdalena
goalkeeper yupo vizuri sana bora mkataba wake ushughulikiwe ukamilike tu mapema
Mwanahamisi
Bora abaki tuu
Neema
Asiondokee hapo
Caroline
Donnaruma ana mchango mkubwa sana Millan
Saupha mohamed
Wangemuacha tu
Hidaya
Abaki tu
Sauda
Wamuache hapo hapo
Amiri Kayera
Wamuongezee t mkataba
Shan
Dourumana kipa bora
Rose kapinga
Kipa mwenye kipaji chake!!!
Khadija
Abaki tu hapo hapo
Issa
Kipa matata sana ila milan imbakishe
felister
akibakia itakua vyema
Rehema
Asante kwa taarifa
Leonard
Ni vizuri wakiwahi kumpa mkataba mwingine
Sadick
Gianluigi Donnarumma ni golikipa mahiri na amedhirisha hilo ktk umri mdogo#meridianbettz
Elika
Kipa yuko vizur sana, aongezewe mkataba hapo
Ernest
Hapa kuna kitu nyuma ya Pazia
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Tatu
Wakubaliane tu
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa@ meridianbet
Neema
Bora abaki tu
David Pere
Milani wametambua humuimu wa mlinda mlango wao na ndio maana wanampango wa kumuongeza mkataba hii habari nzuri kwa mashabiki wa ac milani
Asia Abdy
Duh hatar
Rose kapinga
Wafikie tuu muafaka ijulikane anasimamia wapi!!
Sabrina
Abaki tu hapo hapo
Theckla
Ni vema akabaki
Povel
Kama anatak kusep wamwachie tu maisha popote