Inter Milan ipo kwenye mpango wa kuipata saini ya kiungo wa Chelsea raia wa Ufaransa, N’Golo Kante msimu huu licha ya kukutana na vigingi kutoka kwa mabosi wake.
Antonio Conte alishinda taji la Ligi Kuu England akiwa na Kante wakati alipokuwa ndani ya Chelsea hivyo anakubali uwezo wake na anajua namna ya kumtumia iwapo atampata ndani ya Klabu ya Inter Milan.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka Italia zimeeleza kuwa ili Inter Milan waipate sani ya nyota huyo ni lazima wamuuze mchezaji wao mmoja ili kufikia malengo ya dau la nyota huyo ambalo linatajwa kuwa ni Euro milioni 46.
Chelsea hawana mpango wa kumuuza nyota huyo kwani walipokea ofa ambayo iliwahusisha wachezaji wawili ambao ni Christian Eriksen and Marcelo Brozovic.
Miamba hiyo ya Italia inahitaji saini ya Kante mwenye miaka 28 ili kuongeza nguvu ndani ya kikosi chao ambacho kinahitaji kufikia mafanikio makubwa kwa msimu wa 2020/21.
Chelsea wapo tayari kumuuza nyota wao Jorginho kuliko Kante na hawana habari na wachezaji wawili ambao wameambiwa watapewa ikiwa ni Eriksen ama Brozovic.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Fatina mfigi
Jipange vizur mpate sain ya kijan uyo yuko vizur san kante!!
felister
sioni sababu ya kante kuondoka Chelsea abaki tu apo apo
Nasra
Abaki tu chelsea
Caroline
Wangempata Kante ingekua vizuri
Zeiyana
Chelsea hawawezi kumuuza kante bado hana humuimu mkubwa sana clabuni pale
Lydia Emmanuel Magoti
Kante nikiungo mzuri Sana na hanaejituma Sana habaki tuu Chelsea tuu
Adelta
Abaki tu hapo Chelsea
Antony Luseno
Inter wakipanda dau la kueleweka blues watamruhusu aondoke
Sadick
Kila timu aliyocheza Ngolo Kante imeleta matokeo chanya kuanzia Leicester, Chelsea na Timu ya Taifa Ufaransa,itakuwa pigo kwa Chelsea ikiruhusu aondoke#meridianbettz
Shafii
Ni ngumu kwa wakati huu Chelsea kumuachia ngolo..
aisha
Kwani inter mnakwama wapi mkwanja nini fanyeni hima muumchukue kijana huyo
Saupha mohamed
Abaki tu Chelsea
Khadija
Abaki tu chelsea
Tatu
Chelsea sizani kama watamuuza kante kwani walishaka nonge nono hata hvyo inte bado awajakata tamaa
Mwajumah
Abaki tu chelsea
Agness
Abaki tuu alipokua
Venerose
Abaki tu chelsea kama kuna maslai kwake
Hopemwaikuka
Komaen tu mpaka kieleweke
Elika
Kanye Yuko vizur
Gabriel
N’Golo Kante n bonge la mchezaji yuko vzur sana 👍
Amiri Kayera
Itakua ngum Chelsea kumuachia
Ernest
Conte naona kaamua
Issa
Ujio wa kinda kama havertz umemfanya mkongwe kukos nafasi the blues
David Pere
Kila timu aliyocheza Ngolo Kante imeleta matokeo chanya kuanzia Leicester, Chelsea na Timu ya Taifa Ufaransa,itakuwa pigo kwa Chelsea ikiruhusu aondok
Rose kapinga
Wekeni dau la kutosha mezani,mmpate jembe hilooo!!
Sabrina
Inter wapambane tu chelsea ningumu sana kumuachia Kante
magdalena
inter wakimpata kante watakuwa wamepata mtu mzuri sana atakae wapa changamoto timu ili uwezo wake uweze kuwa imara ila sizani kama lampard atakubali kumuachia uyu jamaa
Dorophina
Kante Ni mchezaji mzuri sana inter wakimpata atawasaidia
Povel
Conte anaona kante mtu sahihi kwake