Alvaro Morata Ndiyo Kipaumbele Juventus

Kimpaumbele ni Alvaro Morata!

Juventus walikuwa kwenye mbio za kuinasa saini ya Luis Suarez kutoka Barcelona, ambaye tayari ameshasaini mkataba na Atletico Madrid. Juventus wamesisitiza kuwa Alvaro Morata ndiye aliyekuwa kipaumbele.

Kwa mujibu wa meneja, Andrea Pirlo, suala la Luis Suarez halijawaathiri kwa kiasi kikubwa Juventus waliokuwa wakiiwinda saini yake. Na kwa sasa wameamua kuendelea na Morata ambaye alikuwa ni kipaumbele chao toka awali.

Alvaro Morata
Alvaro Morata

Juventus wameanza vyema msimu wao, baada ya Pirlo kupata ushindi wake wa kwanza kama kocha dhidi ya Sampodoria, walipowachapa bao 3-0 wiki iliyopita. Meneja huyu anafurahi kuwa kikosi chake kimeanza kwa fomu nzuri na anaamini ataendelea na moto huo kwa ubora wa kikosi alichonacho.

Pirlo amesema klabu ilikuwa inatarajia kumpokea mshambuliaji kikosini kwake. Licha ya kuwa na nia ya kumsajili Suarez, tayari Alvaro Morata wanaye, ndiye wanayemzingatia kuwa kipaumbele kwa sasa.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

36 Komentara

    Juventus wameanza vyema msimu wao, baada ya Pirlo kupata ushindi wake wa kwanza kama kocha dhidi ya Sampodoria, walipowachapa bao 3-0 wiki iliyopita. Meneja huyu anafurahi kuwa kikosi chake kimeanza kwa fomu nzuri na anaamini ataendelea na moto huo kwa ubora wa kikosi alichonacho.

    Jibu

    Mwanzo mzuri hii inaonyesha jinsi gani walipanga kikosi chao kwenye suala zima la usajili

    Jibu

    Morata anajituma sana.

    Jibu

    Yuko vzur

    Jibu

    Ngoja tuone kama Morata atafanya kile Juventus wanatamani kutoka kwake

    Jibu

    Ngoja tuone yetu macho

    Jibu

    Morataaa usituangushe jmn mashabiki wa Juve

    Jibu

    Alvaro yupo vizuri ila Suarez yupo vizuri zaidi hana uwezo wa kuufikia mziki wa Suarez

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Pirlo ameonyesha dalili nzuri kwa juve

    Jibu

    tunasubiria kuona morata nini atafanya kwa juve

    Jibu

    Yetu macho ngoja tuone mpaka mwisho

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Morato uwezo anawo wakufanya juventus wafurahi

    Jibu

    Yuko vzuri

    Jibu

    Morata Yuko vizuri

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu

    Jibu

    Morata jembe

    Jibu

    Hatar sana watu hao

    Jibu

    Mmefanya vyema

    Jibu

    Morata ataisaidia juve kwa kias kikubwa akishirikian na cr 7 nafikir itakua kolabo safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ni mwanzo mzur

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Morato mtu kazi

    Jibu

    Yupo vizurii

    Jibu

    Morato ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    ata morata nae yupo vizuri atafanya vyema sana wakimuonesha ushirikiano mzuri

    Jibu

    Juve tuna mategemeo makubwa na morata

    Jibu

    Ngoja tuone ujuzi wake morata atawafurahisha mashabiki

    Jibu

    Yuko vzr

    Jibu

    Namkubali sana morata.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.