Mashindano ya French Open 2020 yamemuanzia vibaya Andy Murray baada ya kupoteza mchezo wa kwanza.
Andy Murray alirejea uwanjani baada ya kuwa nje kutokana na majeraha. Kurejea kwake kulimkutanisha na Stan Wawrinka katika mchezo wa kwanza wa French Open
Mchezo huo umemalizika kwa Wawrinka kushinda kwa seti 6-1 6-3 6-2. Murray alikuwa na mchezo mgumu baada ya kutoonesha uwezo wake wa kiushindani na kuwa na kasi ndogo kwenye mchezo, Wawrinka alitumia nafasi hiyo kumuadhibu Murray.
Murray amenukuliwa akisema, “Nitatafakari kwa kina ili kujua kwanini nimecheza kwa kiwango kile.”
Baadhi ya wachezaji wamekuwa wakilalamikia hali ya hewa kutokana na kubadilishwa kwa ratiba kutoka kwenye majira ya baridi na sasa wanacheza kipindi ambacho ni joto. Japokuwa kwa Murray anadhani hii sio sababu ya yeye kupoteza mchezo.
“Kwangu sioni kama hali ya hewa ni sababu ya mimi kupoteza mchezo. Nitaitafakari hali yangu kwa kina na kujua sababu ni nini. Hali ya hewa haidhuru uwezo wa mtu katika mchezo.” amesema Andy Murray.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Elika
Pole sana
Mwanahamisi
Pole
Povel
Murray bahati hakuwah upande wake alijitaid Sana kumbana ila mpinzan wake alikuwah Bora Sana
magdalena
pole sana murray kujikwaa sio kuanguka utashinda tu usivunjike moyo
Adelta
Pole Sana
Tahiya
Murray jipange tena bado unayo nafasi
Fatina mfigi
Pole jipange vizur Mambo yatakuwa mazuri
Ernest
Sikuhizi kumekuwa na changamoto kubwa sana kutoka kwa Damu changa katika michezo mingi ulimwenguni
Mwajumah
Pole sana
Tatu
Upepo mbaya ulimpitia murray mambo yatakaa sawa
Angelina
Pole yake
Lydia Emmanuel Magoti
Pole yake nichangamoto ndogo ndogo tuu zakimichezo ila awamu itakayo fata atakuwa vizuri Murray
Zeiyana
Murray alijiasahau sana ukiangalia toka mapunziko ya korona kuna matokea makubwa wachezaji chipukizi wamekua na molali sana
Dorophina
Pole yake Ni changamoto za mchezo Kuna kushinda na kushindwa
Salma ngende
Pole yao
aisha
Pole sana murray itakua sio bahati yako usikate tamaa kila kitu kitakaa powa
Antony Luseno
Majeraha nayo uenda ndo yamechangia kushuka kiwango kwa Murray
Mariam mtandama
Pole yake
Khadija
Pole yake
Hidaya
Ajali kazini
Janeflora malisa
Pol kwak
Neema
Pole yake
Shani
Murray ajipange sana vijana wa sahiv wana moto sana na shindano hili
Hopemwaikuka
Dah! Cjaipenda hii
Gabriel
Murray ajipange tena bado unayo nafasi
Fatuma kasomo
Pole yao
Amiri Kayera
Kaanz vibaya mashindano
Theonestina
Duuuh
Theckla
Asife moyo Mambo yatabadilika tu kikubwa juhudi tu
Issa
Murray ni noma sana
Sabrina
Duuh pole sana ila usikate tamaa
Saupha mohamed
Pole yao
Samiah
Pole yake
felister
pole yake
Latifa juma mohamed
Kawaida tu!
David Pere
Sikuhizi kumekuwa na changamoto kubwa sana kutoka kwa Damu changa katika michezo mingi ulimwenguni