Ole Gunnar Solskjaer amesema Paul Pogba bado hajawa sawa kabisa lakini atarejea tena dimbani akiwa vyema kwaajili ya kuimarisha safu ya kiungo kuwa bora na bora baada ya kushinda kwa mbinde 3-2 dhidi ya Brighton and Hove Albion siku ya Jumamosi.
Pogba hakuweza kuwa na pre-season iliyokamilika na United baada ya kugundulika kupata maambukizi ya virusi vya Corona mwezi uliyopita.

Kiungo huyo wa Ufaransa aliukosa mchezo ambao Man United ilipokea kipigo cha 3-1 kutoka kwa Crystal Palace wakiwa katika dimba la Old Trafford lakini pia alitolewa dakika ya 65 katika mchezo dhidi ya Brighton katika dimba la Amex Stadium siku ya Jumamosi.
Bosi wa United Solskjaer amemtetea mchezaji huyo wa zamani wa Juventus, baada ya Bruno Fernandes kuisaidia timu ya Man United kujinyakulia alama zote tatu baada ya kufunga kupitia mkwaju wa penati, ndani ya dakika kumi muda wa nyongeza baada ya maamuzi VAR kipyenga cha mwisho kilipo pulizwa.
Solskjaer alisema: “Amekosa mechi nyingi wakati wa kujiandaa kuuanza msimu sababu ya kuumwa kwake, hakucheza michezo ya kimataifa pia hakuwepo kwenye mchezo dhidi ya Aston Villa.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Adelta
Pogba amekuwa kweny kiwango cha chin toka ahusishwe na kuhama united Ila atarejea
Amiri Kayera
Bado ajaonyesh makeke
Fatuma kasomo
Gud news
Issa
Huy pabile amekuw chin ya kiwango toka ahusishwe na kujiunga na madrid
Theckla
Habari njema
Khadija
Angesubili tu awe fiti ndio arudi uwanjani
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Elika
Atakuwa fiti na atarejea kama zaman
Mwanahamisi
Habari njema
Povel
Pogba haanza vzr msimu huuu natumain soon hata kuwah fomu
magdalena
pogba anajituma sana hajali ata majeraha aliyokuwa nayo
Ernest
Naona mashabiki wa Man wamerudia tena kumtupia Pogba lawama wakati tulishaanza kusahau, Wamehama kwa De Gea wamerudi kwa Pogba, Kazi ipo mbona.
Mwajumah
Angesubili tu apone sawasawa awe fiti ndio alud uwanjani
Fatina
Asubir akae vizur ndo arud ili tuone maajab yake
Tatu
Pogba bado ajakawa sawa mashabiki wa man u wanamuitaji uwanjani
Angelina
Pgba ajiweke fiti ndo arud uwanjani
Lydia Emmanuel Magoti
Pole yaho mungu awafanyie wepesi waludi kwenye kazi yaho ya kisoka
Zeiyana
Pogba toka arudi man Chester hanamatokea mazuri
Dorophina
Pogba kwa sas ameshuka kiwango chake sio yule bogba wa zamani
Salma ngende
Vizuri
Antony Luseno
Ni matumaini mazuri ya kujipa lakini kiwango cha uchezaji mpira kwa united bado ni kibovu
aisha
Pogba subili ukae sawa ili urudi kwenye game tuone maajabu yako
Neema
Atakaa sawa tu na kikubwa ajitume tu
Shani
Inabid afanye bidii sana kweny mazoez ili ubora wake urud kama mwanzo
Fatuma kasomo
Habari njm
Gabriel
Pogba yuko vzur sana
Hopemwaikuka
Soon pogba atarud kuonyesha makeke yake
Theonestina
Namkubar Sana Pogba
Sabrina
Pogba bado yuko vizuri
Sauda
Pogba yupo makini sana
Samiah
Pogba yk sawa
felister
angesubiri tu awe fiti ndo arejee tena uwanjani
David Pere
Solskjaer alisema: “Amekosa mechi nyingi wakati wa kujiandaa kuuanza msimu sababu ya kuumwa kwake, hakucheza michezo ya kimataifa pia hakuwepo kwenye mchezo dhidi ya Aston Villa.