Baada ya sekeseke la kutaka kuondoka Barcelona, nahodha wa timu hiyo – Lionel Messi, amekubaliana na hali na sasa anawasihi watu wote kuungana na kuleta mafanikio kwenye timu hiyo.
Mapema mwezi Agosti, Messi aliitikisa dunia kwa kutaka kuondoka Barca, timu aliyoitumikia kwa maisha yake yote ya soka. Sakata hili lilikuwa la aina yake na mvutano kati ya klabu na mchezaji ulikuwa mkubwa. Mwisho wa siku suluhisho lilikuwa ni mchezaji huyo kusalia klabuni hapo.
Akizungumza na SPORT, Messi amenukuliwa akisema. “Baada ya kutokuwa na makubaliano mengi. Nimeamua kumaliza suala hili . Sote tunapaswa kuungana na kuamini kwamba bado hatujapata mafanikio mazuri.
“Nitakuwa na jukumu kwa makosa yangu, kama yapo, ilikuwa ni kwa lengo la kuifanya Barcelona kuwa nzuri na mahiri zaidi.
“Kama kwa namna yeyote mashabiki waliumia kwa chochote nilichokisema au kukifanya, kusiwe na mashaka. Yote niliyofanya au kusema, yalikuwa ni kwa nia njema kwa klabu.”
Lionel alihusishwa sana kujiunga na Manchester City ambapo angeungana na kocha wake wa zamani – Pep Guardiola.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Venerose
Umoja ni nguvu
magdalena
messi bado ana mapenzi ya dhati kabisa na timu yake
Caroline
Safi Sana Messi kwa kufunguka
Elika
Hakika mesi umenena.na umoja siku zote ni nguvu
Adelta
Messi bado anapenda umoja
Mwajumah
Hongera sana Messi kwa kuutaka umoja ili kuleta mafanikio
Hidaya
Umoja ni nguvu na Messi kaliona hilo
Dorophina
Messi yupo sahihi wao ndio wa kuipandisha daraja klabu yao cha msingi ni umoja ndio unaotakiwa
Zeiyana
Hulikua wakati mgumu sana kipindi kile Barcelona safi sana messi
Latifa juma mohamed
Hongera Sana Messi ,ana mapenzi ya dhati na barc.
Sadick
Ni kauli nzuri sana kusikia kutoka kwa Messi inaleta mshikamano kwenye timu#meridianbettz
Antony Luseno
Baada ya kauli hiyo ni muda wa timu kuitendea kazi
Shani
Mess inaonyesha kama anaiendesha barca anavytaka na yeye ndio chanzo pia cha barca kuyumba
Hopemwaikuka
Gud idea
Johnmary joel
Messi sasa umeongea jambo zuri ss ni wakat wakujipanga vizuri ili klabu isonge mbele#meridianbett
Asia Abdy
Kauli ya busara
Sauda
Messi yupo sahihi kabisa
aisha
Mess kaamua kubaki kwa moyo nakuisadia team
Fatina mfigi
Safii san messi
Nasra
Messi jembe
Saupha mohamed
Messi yupo sahihi
Angelina
Safi Messi
Khadija
Messi namkubali
Mwanahamisi
Messi yupo sahihi
Issa
Barca kama wanamuabudu mess na mess amekuwa sababu ya barca kupotea
Fatuma kasomo
Safi mess
Amiri Kayera
Mess amekubali sasa kufany kaz Kwa Moyo wote
Neema
Anachosema Messi ni sahihi
Sabrina
Ni vizuri kutoa hamasa kwa wenzie wafanye vizuri
Rehema
Messi iko poa
felister
sasa ni muda wa timu kufanya kazi
Samira
Messi ni mzalendo sana na Barcelona
Gabriel
Kwel kabisa
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana Messi humoja ni nguvu
Tatu
Mess ndio kila kitu pale barcelona
Ernest
Messi asepe tuu Barca hakuna jipya
Salma ngende
Yupo sahihi
David Pere
Messi yupo sahihi wao ndio wa kuipandisha daraja klabu yao cha msingi ni umoja ndio unaotakiwa
Povel
La pluga mfalme pale nou camp
Samiah
Umoja ni nguvu