Kesho Oktoba 1 mosi itafanyika droo ya kupanga makundi kwa ajili ya msimu mpya wa klabu bingwa ulaya. Tukio hilo litafanyika huko Nyon Uswizi majira ya saa 11 jioni.
Mabingwa wa ligi sita za juu pamoja na mabingwa wa Uefa na Europa watakuwa kwenye bakuli namba moja.
BAKULI namba moja kutakuwa na (Bayern Munich, Sevilla, Real Madrid, Liverpool, Juventus, PSG, Zenit, Porto).
BAKULI namba mbili litakuwa na (Barcelona, Man City, Man united, Shakhtar Donetsk, Borussia Dortmund, Chelsea, Ajax).
BAKULI namba tatu litakuwa na (Rb Leipzig, Inter Milan, Lazio, Atalanta, Lokomotiv Moscow, Marseille, Club Brugge, Borussia Monchengladbach)
BAKULI namba nne litakuwa na (Istanbul Basaksehi, Rennes na timu sita zitakazofuzu play-offs usiku wa leo septemba 30).
Macho yetu yaelekee Nyon siku ya Tarehe 1.10.2020 Majira ya saa 11 jioni usicheze mbali.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Caroline
Aisee kwa mechi hizi acha niandae mkeka wangu mapema
Elika
Dah safi sana
magdalena
mambo yanazidi kushamili kwa kasi ya ajabu uingereza
Mwajumah
Safi sana mambo yanazidi kupamba moto uko uingereza
Dorophina
Mechi zote ngumu hizo niwahi mapema kuweka jamvi langu la uhakika
Hidaya
Mechi za ushindi kabisa
Frank P
plot no one kutoboaga itakuwaga ngumu unapangiwa team zinakamia balaa
Sadick
Ratiba inayotuwekaga macho kuona nani mshindi. Tuone nani atashinda msimu ujao baada ya Bayern Munich#meridianbettz
Antony Luseno
Mtetezi wa kombe sijui ataangukia katika kundi lipi za timu
Hopemwaikuka
Aisee cjui itakuaje hii
Johnmary joel
Kwakweli mambo yanazidi kuwa safi #meridianbett
Shani
Wababe watakiwasha champion league
Asia Abdy
Hatariii
Sauda
Mechi za pesa hizo.
Fatina mfingi
Mambo mazuri
aisha
Naamin yatatok makundi ya ushindan mkubw
Nasra
Nice
Saupha mohamed
Good
Venerose
Safi
Angelina
Mechi zakupiga pesa
Khadija
Zitakuwa mechi za pesa hiz
Zeiyana
Mechi zote kali
Issa
Ni ratiba ya maana sana
Fatuma kasomo
Iko poa
Amiri Kayera
Lazm litatokea group la kifo
Neema
Mechi nzuri sana
Sabrina
Nouma sana hii
Rehema
Iko poa
felister
hatari
Gabriel
Safi sana 👍
Lydia Emmanuel Magoti
Mambo yanazidi kuwa mazuri kwenye ligi zaulaya
Tatu
Mechi zote kali
Ernest
Ngoja tuone, Kitaeleweka tuuu
Salma ngende
Kazi itakuwepo
David Pere
Ratiba inayotuwekaga macho kuona nani mshindi. Tuone nani atashinda msimu ujao baada ya Bayern Munich
Povel
Droo ya kibabe