Tetesi zinasema Tottenham wamekataa ofa ya mkopo wa pauni milioni 1.5 kutoka Paris St-Germain kwa ajili ya Dele Alli na mchezaji huyo, 24, anajiandaa kuendelea kusalia kwenye klabu hiyo ya London.
Spurs pia imeweka ofa ya mkopo kwa ajili ya mlinzi Antonio Rudiger, 27, anayekipiga Chelsea, wakati mazungumzo yakiendelea kati ya mahasimu hao wa London.

Arsenal wamekubali dili la mkopo kwa ajili ya mlinzi wa Uruguay Lucas Torreira, 24, kwenda Atletico Madrid, na hatua hiyo itawaruhusu kumsajili kiungo wa kati Hossem Aouar, 22, kutoka Lyon.
Paris Saint-Germain wanaweza kudhoofisha mpango wa washika bunduki kumshawishi Aouar baada ya pia kuingia kwenye mazungumzo ya kumnasa Mfaransa huyo.
Tetesi zinasema Leicester City inajiandaa kutoa ofa ya mkataba mpya kwa winga Harvey Barnes, 22.

Tetesi zinasema Inter Milan wanajiandaa kumnasa beki wa kushoto wa Chelsea Marcos Alonso, 29.
Leicester City wako tayari kupokea ofa kwa ajili ya winga Demarai Gray, ambaye yuko mwaka wa mwisho wa mkataba wake na klabu hiyo.
Tetesi zinasema Manchester United wanajaribu kumsajili winga wa Atalanta na Ivory Coast Amad Traore, 18.

Fulham wanajaribu kuwanasa mabeki wa kati wawili kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili tarehe 5 mwezi Oktoba, huku klabu ikimfuatilia mlinzi wa PSV Eindhoven Timo Baumgartl, 24.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Dorophina
Arsenal wakifanikiwa kumsajili aouar watakuwa wamefanya usajili mzuri sana
Adelta
Kikubwa arsenal wamsajili tu waone maajabu yake
magdalena
inter millan naona nao wanataka kukitengeneza kikosi chao vyema zaidi
Elika
Wafanye usajili tu kwa huyo kiungo
Fatina mfigi
Wafanye wamchukue kijan yuko vizur
Ester mmakasa
Kila lakheri intermilan kwa kujiandaa kumnasa beki wa kushoto wa Chelsea Marcos Alonso ,29.
Lydia Emmanuel Magoti
Arsenal weken mzigo mchukue kiungo huyo
Ernest
Dele Alli ameshaingia kigundu na Mourinho kazi anayo
Sauda
Inter wakimpata Marcos itakuwa vizuri sana
Caroline
Pole Dele Alli
Mwajumah
Wafanye usajili tu kwa uyo kiungo
Mwanahamisi
Pole yake
Venerose
Duuh
Povel
Update za usajil mambo ni moto
Nasra
Aiseee
Khadija
wafanye tu uwo usajiri tujue inakuwaje
Janeflora malisa
Pole yk
Tatu
Usajili unazidi kupamba moto
Hopemwaikuka
Zko poa
Rehema
Pole yake
aisha
Pambaneni ili mumpate jembe hilo
Neema
Huyo sio wakuachwa wajitahidi kumsajili
Zuhura omary kindamba
Wafanye tu mpango wamsajili uyo kijana
Saupha mohamed
Usajili upon motooo atalii
Shani
United imchukue traore kwa sabab anajua kazi yake
Issa
Fulham ijitahid irudishe hadhi yake
Sabrina
Usajili umepamba motoo
Angelina
Usajili ni motoo
Amiri Kayera
Taalifa nzurii za usajir
Latifa juma mohamed
Taarifa na ratiba njema ilikuwa.
Gabriel
Arsenal wakifanikiwa kumsajili aouar watakuwa wamefanya usajili mzuri
Samiah
Duuh