UEFA Nations League: Vikosi Vyatajwa

Kuelekea michezo ya UEFA Nations League, timu mbali mbali zimetoa orodha ya wachezaji watakaoshiriki muendelezo wa michezo hiyo.

Gareth Southgate ametangaza kikosi chake cha Uingereza. Mason Greenwood na Phil Foden wametemwa katika kikosi hicho. Calvert- Lewin na Bukayo Saka wapewa nafasi kwa mara ya kwanza.

Greenwood na Foden walivunja sheria za COVID19 katika kambi yao kwenye michezo ya mwisho na sasa wametupwa nje ya kikosi hicho. Harry Maguire amerejea tena kwenye kikosi cha Uingereza baada ya kutolewa mapema mwezi uliopita kutokana na sakata la vurugu akiwa Ugiriki.

Mabingwa wa dunia – Ufaransa, wametangaza kikosi chao na Paul Pogba amerejea tena kwenye kikosi hicho.

Pogba alitolewa kwenye kikosi mwezi ulipita baada ya kupata maambukizi ya COVID19 na sasa amerejeshwa tena baada ya kuwa salama.

Vikosi vya Uingereza na Ufaransa kuelekea michezo ya UEFA Nations League.

Uingereza:

Golikipa: Dean Henderson, Jordan Pickford, Nick Pope.

Walinzi: Trent Alexander-Arnold, Ben Chilwell, Conor Coady, Eric Dier, Joe Gomez, Michael Keane, Harry Maguire, Ainsley Maitland-Niles, Tyrone Mings, Bukayo Saka, Kieran Trippier, Kyle Walker.

Viungo: Jordan Henderson, Mason Mount, Kalvin Phillips, Declan Rice, James Ward-Prowse, Harry Winks.

Washambuliaji: Tammy Abraham, Harvey Barnes, Dominic Calvert-Lewin, Jack Grealish, Danny Ings, Harry Kane, Marcus Rashford, Jadon Sancho, Raheem Sterling.

Ufaransa:

Golikipa: Hugo Lloris, Mike Maignan, Steve Mandanda

Walinzi: Lucas Digne, Leo Dubois, Lucas Hernandez, Presnel Kimpembe, Clement Lenglet, Benjamin Pavard, Dayot Upamecano, Raphael Varane

Viungo: Eduardo Camavinga, N’Golo Kante, Steven Nzonzi, Paul Pogba, Adrien Rabiot, Corentin Tolisso

Washambuliaji: Houssem Aouar, Wissam Ben Yedder, Kingsley Coman, Olivier Giroud, Antoine Griezmann, Anthony Martial, Kylian Mbappe.

Michezo ya UEFA Nations League itaendelea mwezi huu, timu mbalimbali zitakuwa uwanjani kuendelea kupeperusha bendera za mataifa yao.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

36 Komentara

    Hiini habari njema

    Jibu

    Inapendeza sn

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safi sana meridian

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Kuna baadhi ya vikosi vinatisha sanaaaa

    Jibu

    Mko vizuri#meridian

    Jibu

    Ligi ya mabingwa

    Jibu

    Vikosi vipo vizuri sana

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    vikosi vimekaa poa sana

    Jibu

    Vikosi vipo vizuri sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi sana kwa kutujali wateja wenu.

    Jibu

    UEFA safari hii kutamba moto wachezaji wamekua na molali baada ya mapunziko ya korona

    Jibu

    Siku zote Uingereza wamekuwa na kikosi bora sana kwa Majina laiki wamekuwa hawana bahati ngoja tuone safari hii chini ya Southgate kama kutakuwa na maajabu

    Jibu

    UEFA imerudi kwa kishindoo

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Vikosi viko poa sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Vikosi viko poaw

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Tusubir raha tu kwa vikosi na mechi hizi

    Jibu

    Vikos vipo moto Sana natumain msimu huu mambo ni moto

    Jibu

    Vikos poa sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Gud

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.