Baada ya kuwa na msimu mzuri ndani ya Serie A na mashindano ya Europa, Romelu Lukaku ameibuka kidedea na kutunikiwa tuzo ya mchezaji bora wa Europa 2019/20.
Lukaku alimaliza msimu wa 2019/20 kwa kutupia magoli 7 kwenye Michuano ya Europa ambapo aliisaidia Inter Millan kufika hatua ya fainali na kufungwa na Sevilla.
Akizungumza na Uefa, Lukaku amesema, “Niwapongeze Sevilla. Walishinda mashindano kwa hiyo nawapongeza kwa hilo.
“Namshukuru Antonio Conte na benchi lake la ufundi pamoja na watu wote kwenye klabu yetu – bodi, raisi kwa kuniamini na kunisaidia kwa msimu mzima.
“Wachezaji wenzangu wamekuwa na mimi tangu siku ya kwanza, ni kama kaka zangu. Ni wanafamilia wa kweli. Kila siku ninakuja mazoezi nikutabasamu ni kwasababu yao.
“Ninaimani mwaka huu tutarudi kwa nguvu zaidi na kufanya vizuri zaidi ya mwaka jana.”
Romelu amempiku Ever Banega (Sevilla) na Bruno Fernandez (Man United) katika kinyang’anyiro cha tuzo hiyo.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Povel
Congrat LUKAKU🤝🤝🤝🤝🏆🏆🏆🏆
Khadija
Rukaku nimchezaji mzuri sana sijui kwann man u walimuuza wakabakisha vile vtt wakina rashford
Hopemwaikuka
Am happy for him
Sabrina
Hongera kwake Lukaku
aisha
Pongezi nyingi sana kwake
magdalena
lukaku anastahili maana alionesha juhudi za hali ya juu msimu uliopita
Dorophina
Hongera lukaku safari bado inaendelea ya mapambano
Sauda
Lukaku fundi.
Angelina
Lukaku alistahili tuzo
Mwanahamisi
Lukaku jeshi
Ernest
Lukaku Amestahili sababu ya kiwango chake alichoonyesha kwenye mashindano na ata kuwa msaada kwa timu yake
Fatina mfigi
Lukaku na mkubali sana anajua up to
Elika
Pongezi nyingi sana apewe lukaku
Adelta
Lukaku unastahili pongezi 👏👏
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana pongezi zake Lukaku namkubali Sana kiungo huyo tangu yupo man alikuwa anajituma Sana Anastairi kupewa pongezi jembe huyo anajua
Nasra
Nakubali kabisa
Caroline
Hongera sana
Tatu
Pongexi nyingi sana ziende kwake lukaku
Zeiyana
Kwa kazi aliyo hifanya hanastaili pongezi lukaku
felister
pongezi kwako
Hidaya
Lukaku mwamba
Amiri Kayera
Bull striker ongera yake
Saupha mohamed
Pongezi kwake
Gabriel
Rukaku nimchezaji mzuri sana man u walifel sana kumuuza
Tahiya
Pongez kwake
David Pere
Rukaku nimchezaji mzuri sana sijui kwann man u walimuuza wakabakisha vile vtt wakin