Juventus wanaripotiwa kuwa wanajaribu kumsajili Federico Chiesa kutoka Fiorentina, lakini kibibi kizee cha Italia hakiwezi kukamilisha mpaka wamuuze Diego Costa.
Duru zinasema kuwa Costa anaonekana hataki kuondoka klabuni hapo. Vyanzo kadhaa vya habari nchini Italia, vimebainisha kuwa uhamisho wa Federico Chiesa umesubirishwa kwanza wakati Costa akionesha kutotaka kuondoka.

Costa alikuwa anatarajiwa kwenda Manchester United, lakini mashetani wekundu hawakutaka kukubaliana na dau la €30m. Pia Wolves walikuwa wanaitaka huduma yake, lakini suala hili linaonekana kutomshawishi Costa.
Juventus wanahitaji kumuuza angalau mchezaji mmoja, ili waweze kumsajili mwingine na zoezi hili linatakiwa likamilike mapema kabla ya Oktoba 6.
Ripoti zinaweka wazi kuwa Juventus na Fiorentina tayari wameshafanya makubaliano ya uhamisho wa Chiesa kwa mkopo kwa €10-12m lakini pia kutakuwa na chaguo la kumnunua,Chiesa pia ameshakubali kuungana na Juventus.
Wakati seke seke la Costa likiendelea Juventus wanatajwa kuwa wanajaribu pia kuwauza wachezaji wengine, Mattia De Sciglio na Sami Khedira.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Issa
Chiesa makini sana
Shani
Kama juve atafanikiwah kumuuza Costa na kumsajil chiesa watakuwah wamepata replacement sahihi juve
Sabrina
Duuh
Povel
Kama deal hlo likatuwah done chiesa in and costa out juve watakuwah wamepata replacement sahihi
Hopemwaikuka
Sio poa
aisha
Noma sana iyooo
magdalena
kwani asipotoka na chiesa dili lake ndo litakuwa limekwana
Sauda
Chiesa anajituma sana
Angelina
Goodupdate
Dorophina
Federico kama atapata nafasi ya kwenda juve itakuwa imepata mchezaji mzuri sana
Mwanahamisi
Sio poa
Ernest
Kwa Style ya uchezaji wa Douglas Costa huenda Uingereza patamfaa zaidi
Fatina mfigi
Mmmh
Tatu
Diego cost ataki kuondoka juve kwa sasa mpaka pale makubaliano yatakapokakilika
Elika
Costa uingereza inamfaa zaidi
Adelta
Asante kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa hiyo ila jembe anajituma Sana huyo
Nasra
Gud news
Caroline
Costa uingereza panamfaa
Zeiyana
Man Chester wakazene kusajiri wachezaji kabla dirisha la usajiri alijafungwa
felister
sio poa
Amiri Kayera
Safii
Rehema
Sio sahihi
Latifa juma mohamed
Sio poa.
Saupha mohamed
Good news
Gabriel
kumsajil chiesa watakuwah wamepata replacement sahihi juve
David Pere
Kama juve atafanikiwah kumuuza Costa na kumsajil chiesa watakuwah wamepata replacement sahihi juve
Samiah
Gud