Kikosi kizima cha Genoa kililazimika kufanyiwa vipimo na wachezaji wawili zaidi wamebainika kuwa na maambuki ya virusi vya Corona.
Genoa wameweka wazi kuwa maibu ya vipimo vya wachezaji wao Petar Brlek na Miha Zajc yamebainisha maambukizi ya Covid19. Awali msaidizi wa Rolando Maran, Walter Bressan ndiye aliyethibitika kuwa na maambukizi kabla ya vipimo vya timu nzima.
Jumla ya watu 19 mpaka sasa kikosini hapo, wakiwemo wachezaji 14 wamepatikana na maambukizi ya Corona.
Genoa wameahirisha mazoezi ya timu mpaka itakapofika Jumatatu, huku mechi iliyokuwa inawakabili ambayo walitakiwa kuicheza kesho dhidi ya Torino, iliahirishwa toka Alhamisi.
Genoa walicheza mechi yao ya mwisho na Napoli Jumapili, na vipimo vya awali vya Napoli havijaonesha yeyote kuwa na maambukizi kikosini hapo. Napoli wamefanya tena vipimo vingine, na wanatarajia kupata majibu katika masaa machache.

Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Povel
Covid 19 ni janga la dunia ,get well soon🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Hopemwaikuka
So sad
Sabrina
Duh corona bado ni tatizoo
aisha
Poleni sana maana hili gonjwa ni tishio
Kabogoro II
Wazungu hili gonjwa bado linawatesa sana. Pole yao wagonjwa wa corona
magdalena
huu ugonjwa unazidi kuwa tishio kila kona
Sauda
Corona noma
Angelina
Wazidi kuchukua tahadhali
Mwanahamisi
Corona sio poa
Dorophina
Nchi za wenzetu covid 19 imeshakuwa tatizo kubwa
Ernest
Hii ni hatari na huenda wakasababisha maambuzi zaidi kwa wachezaji wengine kwenye ligi, Bodi ya Michezo ya Italia wanatakiwa kuangalia swala hii kwa umakini zaidi.
Fatina
Corona sio powah kwa kweli kwa nchi za wenzetu mungu awasaidie ili janga liwaepuke
Elika
Huu ugonjwa sasa sio poa..Mungu atulinde tu na sisi mataifa mengine
Adelta
Coronavirus sio poa pole yake
Lydia Emmanuel Magoti
Duu atariii hii iligonjwa lishakuwa tishio Sasa inabidi watu Sasa wawemakini Sana na gonjwa hili vingine Sasa kuwa ndama wachezaji noma sana
Nasra
Ishakuwa tabu na hili gonjwa
Caroline
Sad newz
Zeiyana
Wanapitia wakati mgumu sana wachezaji hili gonjwa la korona imekua hatari sana
Shani
Pole yao ili ni janga la dunia litakuepo siku zote!!
Tatu
Corona ishakuwa tatizo kwa wachezaji wasipokuwa makini wanaweza kuambukizwa
Mwajumah
Pole yao
felister
corona ikiindelea hivi ligi zinaweza zikasimamishwa tena km msimu uliopita
Issa
Vyama vya italia viwe makini sana na korona la sivyo ligi itakua na uambikiz mkubwa
Amiri Kayera
Corona itafelisha Sana team
Saupha mohamed
Corona nomaa
Gabriel
corona bado ni tatizoo
Rose kapinga
Corona hatar sana
David Pere
Covid 19 ni janga la dunia ,get well soon