Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Barcelona, Ramon Planes amekanusha madai kuwa wamefanya mazungumzo na klabu ya Manchester United Juu ya nyota wao Ousmane Dembele.
Ousmane Dembele aliibuka kama chaguo jingine la Manchester United baada ya sarakasi za kuinasa saini ya Jadon Sancho kuwa hazina matumaini. Japokuwa mazungumzo juu ya Sancho yanatajwa kuendelea, United walikuwa wanahitaji mbadala.

United walikuwa wanahusishwa na mpango wa dili la mkopo, wakati Paul Pogba akitajwa kumshawishi rafiki yake Dembele, ambaye ni mwanatimu mwenzake wa timu ya Taifa Ufaransa kusogea Old Trafford.
Hata hivyo, Planes amekanusha kuwepo kwa mazungumzo yeyote na kusisitiza Ousmane Dembele bado ni mchezaji wanayemtegemea.
“Kwanza kabisa, hakuna mazungumzo yeyote na Manchester United kwa sasa. Makataa kabisa juu ya hilo.”
“Ni mchezaji tunayemtegemea, tunajua kipaji chake. Tunatumaini timu itafaidika vyema na yeye mwaka huu.”
Kwa kauli ya Planes, klabu haina matarajio ya kumuacha Dembele aondoke kwa msimu huu.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Ernest
Tatizo la Dembele pia majeruhi yanamsumbua sana huenda ikawa hasara kubwa kwa Man U
magdalena
sasa awa nao wanataka kutuvuruga vichwa
Fatina mfigi
Wanatuchangany
Dorophina
Man u dembele hawafai watakuwa wanamuweka benchi tu kutwa majeraha
Lydia Emmanuel Magoti
Vipi tena kwa dembele Barcelona majelui Yana msumbua Sana mzee baba huyo
Adelta
Ni kwamba Dembele Yuko vizuri sema wanazingua
Elika
Dah pole kwa man u naona wamepata mapigo kidogo
Sauda
Kama Man U wanahitaji mbadala ni bora wamchukue Dembele maana yupo fit sana.
Zeiyana
Barcelona wana wanauwitaji mkubwa sana wachezaji ili kukamilisha kikosi chao kiwe kwenye ubora sizani kama watamuuza dembele
Mwajumah
Daah pole sana kwa man u
Nasra
Man U polen
Caroline
Man u mmemkosa sancho mmehamia kwa Dembele mtamuwezaa??
Angelina
Hatar
Tatu
Man u baada ya kukosa kwa dortmund sasa wanajalibu upande wa barc
Shani
Hiki ni kizungumkuti si poa
felister
🤷
Venerose
Poleni sana
Hopemwaikuka
Mtajuana wenyewe
Hidaya
Man u wajipange upya
Issa
Man u kumchukua dembele atawakosti tu kwakua majeruh ni tatizo kubwa kwa strrika huyu
aisha
Duuh majanga hayo
Povel
United watu wa romance hawawez kupata sain ya dembele
Amiri Kayera
Dah kwaiy izo tetesi tu
Rehema
Aisee majanga
Saupha mohamed
Duuu atalii
Gabriel
Man u mmemkosa sancho mmehamia kwa Dembele hatar sana 👍
Neema
Mbonaa majangaa
Rose kapinga
Kazi ipoo
Sabrina
Hatari sana
David Pere
Tatizo la Dembele pia majeruhi yanamsumbua sana huenda ikawa hasara kubwa kwa Man U