Sadio Mane Akutwa na COVID-19.

Mabingwa wa EPL Liverpool wamethibitisha kuwa Sadio Mane amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona na kwa sasa anajitenga.

Mshambuliaji huyo, ambaye alianza na kufunga katika ushindi wa 3-1 Jumatatu dhidi ya Arsenal, ameonyesha dalili ndogo za COVID-19 lakini anajisikia mwenye afya njema kwa ujumla.

Maelezo ya Liverpool yalisomeka: “Sadio Mane amepima na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona na kwasasa amejitenga na kufuata miongozo yote ya kuepuka maambukizi.

Lakini, kama vile Thiago Alcantara, Klabu ya soka ya Liverpool imesema itaendelea kufuata taratibu zote zinazohusiana na ugonjwa wa COVID-19 na Mane atajitenga kwa muda unaohitajika.

Liverpool pia wanahofia wanaweza kuwa bila Jordan Henderson kwa mchezo dhidi ya Aston Villa ambao unakutanisha timu mbili ambazo hazijafungwa kwenye EPL.

Alex Oxlade-Chamberlain, Joel Matip, na Kostas Tsimikas pia wataendelea kukaa nje ya dimba kwa Liverpool hadi baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

35 Komentara

    Pole Sana sadio

    Jibu

    duh balaa kubwa sasa ili gonjwa

    Jibu

    Duu pole yake Mane

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Mungu amfanyie wepesi

    Jibu

    Pole mane pengo kwenye timu yake

    Jibu

    Huu ugongwa umekua hatari sana kwa nchi za wenzetu

    Jibu

    Pole sana sadio

    Jibu

    Wasipokuwa makini wachezaji wanaweza wakaamhukizana corono

    Jibu

    Ugonjwa ushakuwa tishio

    Jibu

    Corona bado ni tishio

    Jibu

    Duh pole sanaa

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Janga limekuw janga pole kwake

    Jibu

    mmmh

    Jibu

    Corona itafelisha team nyingi

    Jibu

    Jamani ili gonjwa balaa

    Jibu

    Sorry for sadio

    Jibu

    Corona bado ipo

    Jibu

    Covid ni shida sana unasumbua kwenye michezo

    Jibu

    Pole sana mane

    Jibu

    Covid 19 ni janga la dunia

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Get well soon sadio mane, covid 19 huu ugonjwa sio poa kbs,wajitahid ktk vifaa tiba na vifaa Kinga.

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Duu pole sana Mane

    Jibu

    Get well soon sadio mane

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Doh pole yake

    Jibu

    Tatizo iloo

    Jibu

    Pole Mane

    Jibu

    Get well soon Mane

    Jibu

    Get well soon sadio mane, covid 19 huu ugonjwa sio poa kbs,wajitahid ktk vifaa tiba na vifaa Kinga.

    Jibu

    Duuh

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.