Roberto Mancini na Marco Verratti wamekubaliana juu ya suala kwamba Italia walikosa kutumia vizuri nafasi kwa umaliziaji mbaya na matokeo yake wakalazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya Poland Jumapili.
Ingawa Italia walitawala na kuonesha nguvu kubwa kwa mchuano na kupata baadhi ya nafasi znuri huko Gdansk, hawakuweza kuzitumia kupata bao, kiyu ambacho ni muhimu zaidi.
Federico Chiesa, Lorenzo Pellegrini na Emerson Palmieri wote walipoteza nafasi za wazi, wakati Andrea Belotti, aliyeongoza safu ya ushambuliaji naye akitoka kapa.
Italia hawajaweza kuchukua pointi muhimu kuwaweka kileleni mwa Kundi A1 la Ligi ya Mataifa. Kushindwa dhidi ya Uholanzi Jumatano hii inayokuja kutawashusha chini kwa zaidi na kuruhusu kupigwa gepu.
Maneno ya Roberto Mancini na Marco Verratti
“Dhidi ya Poland tulikuwa tukishambulia kila wakati. Uwanja ulikuwa katika hali mbaya na mpira dunda vibaya, lakini sitafuti visingizio. Tulipaswa kumaliza angalau kipindi cha kwanza na bao moja.” -Roberto Mancini
“Ninakubali kwamba uwanja ulikuwa mgumu na ulifanya aina ya mchezo kuwa mgumu kwetu. Lakini bado tulikuwa na mechi nzuri , tulikosa tu magoli.” -Marco Verratti
Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.



Adelta
Sio mbaya ongezeni juhudi
Ester jackson
Mpira ndivyo ulivyo matokeo lazima uyakubali ingawa umekosa ulicho taka unatakiwa ujipange kivingine
Angelina
Timu mbovu uwanja sio sababu
magdalena
matokeo yapo ya aina tatu kikubwa kujipanga upya kwa ajili ya yajayo ya mbele
Fatina mfingi
Wajipange upya
Elika
Juhudi tu ndo mpango mzima
Lydia Emmanuel Magoti
Hamna kitu umo timu mbovu
Zeiyana
Gemu hilikua ngumu sana kwa upande wao walivyo zani sio ndivyo ilivyo wapizani wao walijua kupambana hipasavyo ili kulinda lango lao kikubwa wajipange tu
Janeflora malisa
Juhud muhim
aisha
Poleni sana ila msikate tamaaa
Salma ngende
Duh
Rose kapinga
Kujitetea imoo
Tatu
Amna kitu hapo anajitetea
Mwajumah
Juhudi tu ndio zinahitajika
Dorophina
Wasisingizie uwanja wameshindwa kujipanga vizuri
Amiri Kayera
Uwanja umepelekea team kukosa ushind
Hidaya
Wajipange upya
Saupha mohamed
Kujianga ndo mpango mzima
Povel
Nice update
Rehema
Aiseee
Sabrina
Mbona Roberto anatoa visingizio km vyoote
Issa
Mancin ni kocha mahiri sana
Shani
Italy hapo vizur
Sauda
Tatizo timu siyo uwanja
Venerose
Tatizo sio uwanja mnatakiwa kuongeza juhudi
Gabriel
matokeo lazima uyakubali ingawa umekosa ulicho taka unatakiwa ujipange
Hopemwaikuka
Mmh