Houssem Aouar amesema jinsi anavyo jivunia kuichezea Lyon baada ya mpango wa kwenda Arsenal kutofanikiwa wakati wa dirisha la usajili.
The Gunners walikuwa katika tetesi kubwa za kumnasa kiungo huyo wa Ufaransa Aouar lakini mwishowe klabu hiyo ya jijini London ilimgeukia Thomas Partey aliyekuwa mmchezaji wa Atletico Madrid.
Wakati mchezaji mwenzake wa Lyon Memphis Depay akiwa kama amevurugwa kwa kutofanikiwa kwenda Barcelona, Aouar amesisitiza yeye kuendelea kubaki Lyon amefurahi wala hana wasiwasi.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 ambaye pia alikuwa akihusishwa na miamba ya LaLiga, Real Madrid anamkataba na Lyon mpaka 2023.
“Kulikuwa hakuna umuhimu kwenda Arsenal au klabu nyingine yoyote ,” Aouar aliiambia Telefoot.
“Ni dhahiri, tulifanya maamuzi na nina furaha kuwa hapa. Nina furaha kukaa Lyon.
“Ni jiji langu, ni klabu yangu – najivunia kuiwakilisha Lyon.
Aouar kwa sasa anamajukumu katika timu ya taifa ya Ufaransa na anatarajia kushinda mchezo wake wa pili dhidi ya Ureno katika mashindano ya Nations League siku ya Jumapili baada ya kucheza mchezo wake wa kwanza kwa Les Bleus siku ya Jumatano kwa kuilaza 7-1 timu ya Ukraine.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!


Amiri Kayera
Kam mchezaji kambi popot
Issa
Arsenal wamekua wagum kutoa pesa kwa maprofesheni kama hawa
Povel
Aour abak kwn The gunner wameshindwa kufik dau kwa mchezaj huyo
Latifa juma mohamed
dhahiri, alifanya maamuzi na ana furaha kuwa hapa Lyon.
Adelta
Maamuzi yake Ni mazuri
Kila la kheri
Genia Sikaluzwe
Kambi popote
Angelina
Yuko sahihi
magdalena
kambi popote kijana
Elika
Kambi popote
Fatina mfigi
Kambi popote
Lydia Emmanuel Magoti
Kipige hapo hapo Lyon
Ester jackson
Yuko sahihi kabisa
Zeiyana
Aouar haipambanie tu Lyon maisha popote hinawezekana dilisha likifunguliwa hanaweza kupata usajiri arsenal
MnonganeJR
Fundi mmoja. Karibu man utd#meridianbettz
Janeflora malisa
Yupo sahihi
aisha
Arsenal mnakwama wapi jamani
Salma ngende
Yupo sahihi
Rose kapinga
Piga kazi popote cha msingi maslahi tuu
Tatu
Hapo Lyon mbona pazuri tu
Dorophina
Kambi popote kila lakheri kwake
Mwajumah
Kambi popote
Hidaya
Riziki popote
Ernest
Aouar amejijengea jina kubwa sana ndani ya Lyon ni wakati mwingine tena kuongeza juhudi ili kupata dili nono zaidi, Arsenal kwanza timu mbovu bora hajaenda
Saupha mohamed
Yupo sahihi
Rehema
Kila la kheri
Sabrina
Tunaheshimu maamuzi yake
Shani
Kila la kheri
Sauda
Maisha popote
Gabriel
Kambi popote
Hopemwaikuka
Hata m naona