Klopp: Everton ndio itakayonitoa jasho msimu huu 2020-21.

Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp amesema meneja wa Everton Carlo Ancelotti anaweza kuwa mshindani mkuu wa Liverpool katika Premier League.

Everton inaongoza katika jedwali la ligi ikiwa imeshinda mara nne katika mechi nne chini ya usimamizi wa raia huyo wa Itali ambaye aliajiriwa Disemba iliopita.

Wanacheza dhidi ya mabingwa Liverpool nyumbani Merseyside siku ya Jumamosi.

Klopp: Everton ndio itakayonitoa jasho msimu huu 2020-21.

”Kile ninachofikiria kuhusu Carlo Ancelloti hakikuwa siri . Sikuweza kumuheshimu zaidi . Ni mtu mzuri” , Klopp aliambia BBC.

”Niliposikia kwamba atakuwa meneja mpya wa Everton , nilijua ushindani mkali mwengine umewasili Uingereza”.

”Walifanya biashara nzuri ya kununua wachezaji wakati wa dirisha la uhamisho la msimu uliopita. Walipata wachezaji waliowahitaji kuimarisha kikosi ambacho tayari kilikua kizuri”.

”Pamoja sasa ni kuzoea kile ambacho Anataka wafanye – kuwafanya kuwa bora zaidi”.

Ancelloti alimrithi Marco Silva kama mkufunzi wa Everton, baada ya kushinda mataji ya ligi akiwa Itali, Ujerumani, Ufaransa na England akiifunza Chelsea 2009-10.

Pia ameshinda mataji matatu ya ligi ya klabu bingwa Ulaya .Everton ambayo ilimaliza katika nafasi ya 12 katika ligi ya Premia msimu uliopita hawajamaliza chini ya nafasi ya saba tangu 2013 -14.

Klopp: Everton ndio itakayonitoa jasho msimu huu 2020-21.

Baada ya kuimarisha safu ya kati katika dirisha la uhamisho la msimu uliopita baada ya kuwasajili wachezaji kama James Rodriguez, Allan na Abdoulaye Doucoure, wana matokeo ya asilimia 100% kutoka katika mechi saba katika mashindano yote msimu huu.

Wamefunga magoli 24 , mshambuliaji mpya wa England Dominc Calvert Lewin akifunga magoli tisa ikiwemo hatrick 2.

wachezaji wa Everton wakimkabili mchezaji wa Liverpool katikati
Klopp alisema: Calvert Lewin , Nilitaraji kwamba atapiga hatua kubwa katika miaka michache ijayo na amefanya hivyo, alisema Klopp.

”Ana kila unachohitaji kutoka kwa mshambuliaji , kimo, uwezo, malengo, kasi, mzuri angani anapofunga kwa kutumia kichwa na kumaliza na miguu yote”.

”Na sasa timu ina wachezaji bora – wingi zote mbili zina wachezaji huku James na Richarlison. Katika safu ya kati , Allan na yoyote anayecheza pale iwe Sigurdson ama yeyote yule”.

”Kwa kweli ni timu nzuri sana na safu ya ulinzi inafanya kazi yake vizuri kwasababu katika timu nzuri ni rahisi kujilinda nyuma”.

”Hicho ndio unachoona unapoitazama Everton hivyobasi itakuwa mechi ya kufana”.


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

29 Komentara

    Everton kikosi chao kipo vizuri.laxima Klopp aogopeee

    Jibu

    Klopp kazi anayo apo

    Jibu

    Klopp ujipange Everton wapo moto

    Jibu

    everton imejipanga vya kutosha sana apo klopp kazi kweli anayo

    Jibu

    evarton wamesajiri wachezaji wengi ili kukamilisha timu yao lakini hawana kikosi cha kuwazuia liverpool klopp hatoe wasiwasi

    Jibu

    Klopp ujipange Everton wapo moto

    Jibu

    Everton wapo vizuri wamejipanga

    Jibu

    Klopp ana kibarua kigumu msimu huu

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    hatar

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    EVERTON wanajambo lao 2020/2021

    Jibu

    Nouma sana

    Jibu

    Kloop anajiham tu msimu huu ana chake

    Jibu

    Balaa

    Jibu

    Noma sana

    Jibu

    Klopp bora amelijua hilo

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Hatar

    Jibu

    Mbona anajihami mapema

    Jibu

    Klopp jipange mpira hautabiriki

    Jibu

    Wakikutana inakuaga matoo

    Jibu

    Pole sana kloop kwa kuwaagopa everton

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Nom as sanaa

    Jibu

    Everton wamekuwa wapambanaji sana msimu huu, lazima cheche zitoke

    Jibu

    Kwer wanakutoa jasho

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.