Zlatan Ibrahimovic anaamini Milan inaweza kumaliza utawala wa Juventus kushinda Scudetto baada ya hapo jana kuifungia Milan goli 2-1 dhidi ya Inter.
Milan wanaongoza jedwali la Serie A kwa 100% baada ya kushinda michezo yote waliyocheza msimu 2020-21 na kujikusanyia alama 12 katika michezo 4.
Ibrahimovic aliiweka Milan kifua mbele kwa kufunga 2-0 ndani ya dakika 16 za mchezo na Romelu Lukaku alifunga goli la kufutia machozi kabla ya kipindi cha kwanza hakijaisha.

Inter walishindwa kufanya comeback,na sasa Milan wapo mbele ya Atalanta kwa tofauti ya pointi tatu .
Vijana wa Stefano Pioli hajapoteza mchezo wowote tangu wachapwe 2-1 na Genoa mwezi Machi na Ibrahimovic ameona hakuna sababu ya Milan kutoshinda taji mara ya mwisho kushinda ilikuwa mwaka 2011 kabla Juventus haijatwaa taji hilo mara tisa mfululizo.
Aliambia Sky Sports Italia: “Huu ni mwanzo tu, tangu nitue hapa timu imekuwa ikifanya vizuri sana haswa baada ya Lockdown.
“Timu imekua sana,hata hawa vijana wamekuwa wakitimiza vyema majukumu yao wote wanajifunza kwa bidii.
“Mimi ndio mkubwa katika timu,ni jambo ninalolifurahia kila mtu anafuata ninachomuambia na vijana wananjaa ya ushindi.
“Dhamira ya klabu ni kuona inafanya vizuri barani Ulaya, malengo yangu nikuona timu ikishinda mataji.
“Scudetto? Kwa mawazo yangu hakika kuna uwezekano naamini tunaweza kufanya kila kitu ingawa bado ni safari ndefu.”
Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.



Saupha mohamed
Jaamaa yupo vizuri safii sana
Elika
Dah safi sana
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri wakipambana wataweza
Adelta
Kijana Yuko makini
Hidaya
Ni jitihada binafsi ndio zinahitajika
Hopemwaikuka
Ni kuamua tu wataweza
Mwajumah
Safi sana
Caroline
Ha ha ha kweli kabisa
Mwanahamisi
Safi sana
Tatu
Ibrahimovic yupo vizuri
Povel
Inawezekana kikubw kupambana Tu hapo chchte chn ya jua kinawezekana tu
Issa
Kadabra iz back
Janeflora malisa
Yupp makn na kaz yak
Amiri Kayera
Nafax ipo Ila Safar ndefu
Sauda
Jamaa anajiamini sana
Fatuma kasomo
Safi
aisha
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua
Rehema
Safi
Sabrina
Itapendeza
zeiyana
ndoto za ibraimovic zinaenda kutumia
Angelina
Safi
Fatina mfingi
Safi kijan katimize ndoto zako
magdalena
milan wamefanya jambo jema sana
latifa juma mohamed
Kwa mawazo yangu hakika kuna uwezekano naamini inawezekana kufanya kila kitu ingawa bado ni safari ndefu.”
Khadija
Safi sana
Shani
Milan on fire
Gabriel
Imekaa poa sana 👍
warda
Iko poa sana