Baada ya kuwekwa nje ya kikosi cha Brazil katika mechi za kufuzu Kombe la dunia, Vinicius Jr amerejeshwa tena kwenye kikosi cha timu hiyo.
Vinicius ameokota dodo hili baada ya kocha Tite kusema lengo lake ni kuwapatia nafasi wachezaji wadogo ambao hawanauzoefu wa kuitumikia timu ya taifa hilo.
Nafasi hii anaipata baada ya mchezaji mwenzake wa Real Madrid – Rodrygo kutemwa kwenye kikosi cha Brazil.
Bruno Guimaraes anachukua nafasi ya Arthur, Felipe anampisha Eder Militao, Alisson na Gabriel Jesus wamerejeshwa kwenye kikosi baada ya kukosa michezo iliyopita kutokana na majeruhi.
“kwa wachezaji wadogo ni suala la utaratibu na ukomavu katika vilabu vyao. Uchaguzi wao unategemea ubora wao katika muda husika na kiwango cha kujiamini kwao.
“Kwa sababu hiyo, nitawatumia Vinicius, Rodrygo, Bruno Guimaraes na wengine. Vinicius ni mchezaji wa kipekee, anakipaji na anavitu vingi vya kuchangia uwanjani, kama gari linagia 5, yeye anasita au saba.” amesema Tite.
Alisson (Liverpool), Ederson (Manchester City), Weverton (Palmeiras); Alex Telles (Manchester United), Danilo (Juventus), Eder Militao (Real Madrid), Gabriel Menino (Palmeiras), Marquinhos (Paris Saint-Germain), Renan Lodi (Atletico Madrid), Rodrigo Caio (Flamengo), Thiago Silva (Chelsea); Arthur (Juventus), Casemiro (Real Madrid), Douglas Luiz (Aston Villa), Everton Ribeiro (Flamengo), Fabinho (Liverpool), Philippe Coutinho (Barcelona); Everton (Benfica), Gabriel Jesus (Manchester City), Neymar (Paris Saint-Germain), Richarlison (Everton), Roberto Firmino (Liverpool), Vinicius Junior (Real Madrid).
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.


Issa
Kinda makin sana
Aziza mushi
Asanteni kwa taarifa meridianbet.
Povel
Kila la kheri new neymar jr
Hopemwaikuka
Imekaa poa hii
Janeflora malisa
Yupo mkn
aisha
Namkubali sana
Kabogolo II
Kijana anauwezo sana
Theonestina
Safi
Elika
Kijana yuko makini sana
Khadija
Kijana namkubali sana vinicius karibu brazil
Adelta
Kijanja Yuko vizuri
zeiyana
wamefanya vizuri sana kwa wachezaji wadogo chipukizi hinachukua taswila nzuri sana wakiichea taifa lao hii kwa mala ya pili tena vinicius jr hataendelea kuonesha mahajabu yake
Mwanahamisi
Kijana Yuko makini sana
Mwajumah
Kila la kheri kwake
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri kila la kheri
Tatu
Barazil ni chuo cha michezo ikiangalia kijana bado mdogo wanamkuza wenyewe na kumuuza kwa bei anayoitaka
Sauda
Kijana anajitahidi sana
Fatuma kasomo
Safi
Saupha mohamed
Safi sana
Sabrina
Safi sana Vinicius
Asia Abdy
Good
Neema
Safiii sana
warda
vinicius anajua sana bora walivyo mrejesha
Latifa juma mohamed
Namkubali sana
David Pere
wamefanya vizuri sana kwa wachezaji wadogo chipukizi hinachukua taswila nzuri sana wakiichea taifa lao hii kwa mala ya pili tena vinicius jr hataendelea kuonesha mahajabu