Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema mpango wa Real Madrid wa kumsajili mshambuliaji wa Paris St-Germain Mfaransa Kylian Mbappe, 21, hautavurugika hata mkufunzi wa klabu hiyo Zinedine Zidane akiondoka.

Zidane anasisitiza atakuwa na wachezaji hao hadi kufo licha ya tetesi kuibuka kuhusu hatma ya Mfaransa huyo Real.

Tottenham Hotspur imempatia mshambuliaji wa Korea Kusini Son Heung-min kandarasi mpya ya miaka mitano ya thamani ya £200,000 kwa wiki pamoja na marupurupu mengine, ambayo ni karibu mara mbili ya marupurupu ya anayolipwa katika kandarasi ya sasa itakayomalizika mwaka 2023.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema Mkufunzi wa Spurs Jose Mourinho anamtarajia Son, 28, kutia saini mkataba huo mpya hivi karibuni.

Ajenti wa Mesut Ozil anadai kuwa mkufunzi wa Gunners Mikel Arteta hakuwa mkweli kuhusu sababu ya kumuondoa mchezaji huyo waUjerumani katika kikosi chake.

Beki wa kushoto na nyuma wa Chelsea na Italia Emerson Palmieri, 26, huenda akaondoka Stamford Bridge mwezi Januari, huku Inter Milan, Roma na Napoli wakionesha dalili ya kuweka dao la kumnunua.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Manchester City wanajiandaa kumsajili winga wa Partizan Filip Stevanovic kwa kima cha £6m mwezi Januari dirisha la uhamisho litakapofunguliwa. Kiungo huyo wa miaka 18- raia wa Serbia aliwahi kuhusishwa na Manchester United.

Paris St-Germain wanajiandaa kumpatia Neymar mkataba mpya endapo wataafikiana na mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil, 28.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Kiungo wa kati wa Chelsea na Italia Jorginho, 28, amesema yuko “tayari kushauriana” na Arsenal na kukiri kuwa Gunners wameonesha mpango wa kutaka kumnunua msimu huu wa joto.

Shirikisho la Soka nchini Uingereza limetishia kuzuia klabu za Uingereza kuwasajili wachezaji wa kimataifa kutoka nje ya Muungano wa Ulaya hadi pale Ligi Kuu zitakapo kubaliana kubuni sheria zinazowalinda wachezaji wa nyumbani baada ya Brexit.


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

21 Komentara

    Mbappe kaza buti kambi popote

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridian

    Jibu

    Kila la kheri mbappe

    Jibu

    hana jituma sana ton heaung kwa kumuongezea mkata kwake kutalaeta mafanikio makubwa sana clabuni hapo

    Jibu

    Kambi popote tu mbappe

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Vyovyote itakavyo kuwa ni sawa tu

    Jibu

    Mbappe yeye ndio muwamuzi wa mwisho na Yeye ndio ujua nini anakifanya

    Jibu

    Mbappe ni mchezaji nyota kila timu inakuitaji

    Jibu

    Maisha popote

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Duuh mbappe

    Jibu

    Itakua poa sana

    Jibu

    Hbr njm

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Tetesi ziko poa sana

    Jibu

    Imekaa njema.

    Jibu

    Mbappe yeye ndio muwamuzi wa mwisho na Yeye ndio ujua nini anakifanya

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.