Toto Wolff Kuanza Mazungumzo na Hamilton

Maisha ni hatua na hatua moja huchagiza hatua nyingine. Baada ya kubeba taji la 7 la Formula 1, mkurugenzi wa Mercedes -Toto Wolff anatarajia kuanza mazungumzo na Lewis Hamilton kuhusu mkataba mpya.

Mkataba wa Hamilton unamalizika mwishoni mwa mwaka huu na hapakuwa na mazungumzo kuhusu mkataba mpya, hii ni kwasababu Toto Wolff na uongozi mzima wa Mercedes ulihitaji kumpatia muda Hamilton kufanyia kazi ndoto zake za kulisaka taji la 7.

Baada ya kumaliza mashindano ya Turkish Grand Prix na kubeba taji la Formula 1, Wolff anatarajia kuanza mazungumzo rasmi na Hamilton kuhusu mkataba mpya ndani ya siku chache zijazo.

Lewis Hamilton (kushoto) akifurahia ushindi wa Turkish Grand Prix akiwa na Toto Wolff (kulia).

“Kutoka kwenye ushindi wa 7 na kuanza mazungumzo ya mkataba mpya, hakutaitendea haki furaha ya mafanikio haya.

“Tutajipatia muda kidogo na kisha tutaanza huo mchakato. Mahusiano yetu ni zaidi ya biashara, ni mahusiano ya kirafiki na yenye kuaminiana.

“Hii siku moja ya majadiliano ni kati ya siku ambazo hatuzifurahii kwa sababu ni siku ambayo tunakuwaga na malengo tofauti. Biashara nzuri ni ile ambayo wahusika wanamalizana wakiwa hawajaridhika sana.” Alisema Wolff


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

11 Komentara

    Hamilton makini sana

    Jibu

    aya mazungumzo na imani yataisha salama na kila kitu kitakaa sawa

    Jibu

    Jitahidi kupata saini yake muwepamoja zaidi

    Jibu

    Kila la kheri woff Kama watafikiah muafaka

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Hamilton hapa atapiga mkwanja mrefu

    Jibu

    Subiri tuangalie mwenyewe mahamuzi yake

    Jibu

    Kila la kheri kwake

    Jibu

    Kila. La kheri Wolf Kama watafikiah .makubaliano

    Jibu

    Kila la kheri Wolff

    Jibu

    Itakua poa sana kwake wolff

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.