Newcastke United ikiwa Uwanja wa St James Park ilikubali kuyeyusha pointi tatu mazima baada ya kukubali kichapo cha mabao 0-2 dhidi ya Chelsea.
Chelsea chini ya Kocha Mkuu Frank Lampard ilianza kwa kasi jana Novemba 21 kulisakama lango la wapinzani hali iliyopelekea Federico Fernandez beki wa Newcastle United kujifunga dakika ya 10.

Kipindi cha pili Chelsea ilizidi kupambana na iliweza kupata bao la pili dakika ya 65 kupitia kwa Tammy Abraham akipokea asisiti ya Timo Werner.

Ushindi huo unaifanya Chelsea kufikisha jumla ya pointi 18 sawa na Leicester City ambayo itashuka uwanjani leo kumenyana na Liverpool wenye pointi 17.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Angelina
Safi
Amani
Ushindi walio pata walistaili pongezi kwao
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana chealse
Sauda
Hongera Chelsea
Adelta
Chelsea wako vizuri
Shakila mrope
Hongereni Chelsea
Caroline
Hongera sana chelsea chama langu
Ester jackson
Chelsea walicheza kwenye kiwango bora sana kiasi ambacho kama wangekuwa makini wangeweza kutoka na magoli mengi ingawa waliambulia point 3 safii sana Chelsea
Rahma
Safi sana chelsea
Sarah
Ongera chalsea
Sania
Chelsea bomba
Sadick
Ushindi huo uliipa Chelsea uongozi wa Ligi kwa muda kabla Tottenham kusinda na kukaa kileleni
Hopemwaikuka
Kwa raha zao
Elika
Safi sana
Fatuma kasomo
Gud news
aisha
Big up kwa chelsea
Nasra
Chelsea safi sana
Povel
Pongez kwao chelsea the blues
Janeflora malisa
Safi
Saupha mohamed
Safi Chelsea
Mwajumah
Hongera sana chelsea
Tatu
Pongezi kwao
magdalena
kazi nzuri waliifanya chelsea
Mariam mtandama
Hongera yao
Issa
Lampard anaiwez timu yake sana