Nguli wa Soka Zlatan Ibrahimovic, 39,anayekipiga katika klabu ya AC Milan ya Italia ameendeleza vituko vyake visivyokwisha baada ya kuulizwa kuhusu mchezaji wa kikapu Nihad Devodic.
Mwandishi wa habari alimuuliza swali mchezaji wa mchezo wa mpira wa kikapu wa Bosnia Nihad Dedovic iwapo ana undugu na Zlatan Ibrahimovic kutokana na kufanana sana.

“Dedovic akajibu “Hapana, baba yangu hajawahi kwenda Sweden“.
Alipotafutwa Ibrahimovic na kuulizwa swali hilo na kuambiwa kuhusu jibu la mchezaji huyo wa kikapu,
“Zlatan akajibu: “Lakini baba yangu amewahi kuishi Bosnia“.
Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.



Ester jackson
Duniani ni wawili wa wili kufanya binadamu ni jambo la kawaida inawezekana labda kwenye vizaze vya karne labda ukoo wao ni mmoja
Shakila mrope
Safi
Povel
Cadabla mmoja ya wachezaj ukiacha na mpira ni mwenyew kipaji cha Hali ya juu kucheza karate na comedy
Sadick
Kama ni kufanana basi hawa kiboko. Baba yake Ibrahimovic ni M-Bosnia aliyekimbilia Sweden wakati wa vita vya Yugoslavia ya zamani
magdalena
ibrahimovic yupo vizuri sana
Sauda
Wanafanana sana
Adelta
Ibrahimovic ni kijana mzuri na anajiamini
Na kazi yake
Fatina mfingi
Ni kijan mzur
Dorophina
Ibrahimovic nae kila siku anakuja na vituko vipya
Tatu
Duani wawili wawili labda tuwaulize wazazi wao awakuchepuka hata kidogo maana si kwa mfanano huo
Lydia Emmanuel Magoti
Namkubali Sana jembe huyo lbrahimovic anajua sana
Samira
Ibrahim tukitoa fani ya uchezaji nazani anakipaji kingine cha ucomedian
Nasra
Ibrahimovic anakipaji cha kipekee
Saupha mohamed
Ibrahimovic namkubali sana
aisha
Namkubali mnooooo
Genia Sikaluzwe
Saf
Hopemwaikuka
,🤣🤣🤣
samiah
Safi
warda
ibrahimovic mie namuonaga ni mtu wa kujisikia sana