Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Uholanzi na vilabu vya Ajax na AC Milan, Marco van Basten wamewashutumu wachezaji wa Barcelona, Lionel Messi na Antonie Griezmann kwa aina wanavyocheza.

 

Basten -Messi na Griezmann Wanazingua.

Akiongea na Ziggo Sport, Van Basten alisema “Kwa kifupi tu ni kuwa wanacheza vibaya sasa hivi, Messi na Griezmann wanacheza kama watu wawili wasio na malengo, ni kama watengeneza keki wasiojua wanachokifanya.

Inawezekana kabisa hawana motisha kutokana na kukosekana na mashabiki. Ukiachana na hivyo hajafanya mazoezi sana katika miezi michache iliyopita, hana furaha na mazingira yalivyo Barcelona.” aliongeza Basten kuhusu Messi.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

20 MAONI

  1. Kweli ila tunasubiri tu mikataba yao iishe tuone wataendelea au wanasubiri kupata motisha kwa mashabiki au wanafanya hivyo ili wasiongezewe mikataba

  2. Messi hameshakata tamaa na maisha ya nou camp hanatak kubadili mazingira na griezman bado hajatuonyesha ubora ule tuliomzoeah kipind yupo atletico Madrid na national team ya france hapo bodi na benchi la watafakari

  3. Messi ni kama mfalme na Barcelona inamuhitaji zaidi kuliko yeye anavyoihitaji Barcelona. Griezmann anasema nafasi anayochezeshwa sio aliyozoea pengine ndio maana hafurahii tena soka

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa