Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amefunguka na kudai kuwa alikaribia kujiunga na klabu ya Barcelona pale muda wake wa kuitumikia united uliokaribia kufikia ukomo mwaka 2010.

Rooney amekiri kuwa kwa siku kadhaa alikuwa akikitizama kikosi cha Pep Guardiola pale Barcelona na kuona namna ambavyo angeingia katika mfumo (ndani kikosi).

 

rooney, Rooney -“Nilitaka Kujiunga na Barcelona 2010”., Meridianbet

Nakumbuka nilikaa siku nzima nikiwaza namna ambavyo ningecheza pale Barcelona na Messi, Xavi, Iniesta na Busquets. Na kwa wakati ule Messi hakuwa akicheza kama ambavyo anacheza sasa, kama namba 9 kwa mfano. Alikuwa akicheza nje zaidi upande wa pembeni.

Aidha Rooney amekiri kuwa Chelsea na Manchester city ndio walikuwa vinara walioongoza katika mbio za kuwinda saini yake licha ya tetesi kadha wa kadha za ofa kutoka kwa Real Madrid na Barcelona ila aliamua kusalia Old Trafford.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

19 MAONI

  1. Hakika wayne rooney magoli alikuwah kwny ubora wa Hali ya juu kipind hicho na kufany vilabu vikubwa vya ulaya kumtoleah udenda kupata saini yake ni zail rooney magoli kusalia united kutokana na kuangaliah mfumo wa vilabu vilivyokuwah viangahika kupata saini yake na mwenyew kutafakari na kuona hawez kugain mfumo wa vilabu hvy na kuamuah kusalia ndani ya united red devil kipind hicho wayne rooney magoli kwny ubora wake

  2. Nikweli anacho kisema Rooney Angekuwa Barcelona kungekuwa namajabu zaidi ukuakicheza Messi uku Rooney pangekuwa apatoshi

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa