Nguli wa Soka Zlatan Ibrahimovic, 39,anayekipiga katika klabu ya AC Milan ya Italia ameendeleza vituko vyake visivyokwisha baada ya kuulizwa kuhusu mchezaji wa kikapu Nihad Devodic.

Mwandishi wa habari alimuuliza swali mchezaji wa mchezo wa mpira wa kikapu wa Bosnia Nihad Dedovic iwapo ana undugu na Zlatan Ibrahimovic kutokana na kufanana sana.

 

Zlatan Ibrahimovic Staa Asiyeishiwa Vituko.

“Dedovic akajibu “Hapana, baba yangu hajawahi kwenda Sweden“.

Alipotafutwa Ibrahimovic na kuulizwa swali hilo na kuambiwa kuhusu jibu la mchezaji huyo wa kikapu,

“Zlatan akajibu: “Lakini baba yangu amewahi kuishi Bosnia“.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

19 MAONI

  1. Duniani ni wawili wa wili kufanya binadamu ni jambo la kawaida inawezekana labda kwenye vizaze vya karne labda ukoo wao ni mmoja

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa