Tetesi zinasema kuna uwezekano mkubwa Messi ataondoka Barcelona na kujiunga na PSG msimu ujao, huku mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 21, akitarajiwa kijiunga na Real Madrid.
Mgombea urais wa Barcelona Emili Rousaud amesema ni vigumu kumudu mshahara wa Muargentina huyo baada ya mkataba wake wa sasa kumalizika msimu ujao.
Rousaud pia anataka kuwakutanisha Messi na mshambuliaji wa Brazil na Paris St-Germain Neymar Uhispania lakini Barcelona haina uwezo wa kumudu bei ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 28- kabla ya mkataba wake kumalizika mwaka 2022.

Mlinzi wa zamani wa Manchester City Pablo Zabaleta amesema klabu hiyo ya Ligi ya Primia ni mahali pazuri kwa Messi ikiwa mchezaji huyo ataamua kuondoka Barcelona.
Tetesi zinasema West Brom wanajiandaa kumfuta mkufunzi wao Slaven Bilic na kumpatia nafasi yake kocha wa zamani wa England Sam Allardyce.
Bayern Munich wako tayari kumpatia kiungo mshambuliaji wa kati Jamal Musiala, 17, mkataba mpya wa thamani ya £100,000 kwa wiki licha nyota huyo kunyatiwa na klabu za Ligi Kuu ya England.

Paris St-Germain wako tayari kujadili mkataba wa winga wa Lyon, Houssem Aouar ,22, ambaye alikuwa akinyatiwa na Arsenal msimu uliyopita.
Tetesi zinasema Arsenal na Marseille wanataka kumsajili kiungo wakati wa Portugal Fabio Vieira, 20, kutoka Porto.
Tetesi zinasema Leeds United wanamfuatilia mlinzi wa Chelsea na England Fikayo Tomori, 22, kwa lengo la kumunua mwezi Januari dirisha la uhamisho litakapofunguliwa.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!



Adelta
Messi ni Bora aondoke tu
Khadija
Asante meridian kwa taarifa
Sarah
Aende tu messi
Rahma
Haondoke tu messi
Mwanahamisi
Messi ni mtu mahili sana
Dorophina
Itakuwa poa mbappe akienda real madrid
Caroline
Asante kwa taarifa
Hopemwaikuka
Bayern mchukuen jamal huyoo
Issa
Asepe tu umri umeenda
Saupha mohamed
Asanteni kwa makala safi
Fatuma kasomo
Gud news
samiah
Gud news
Lydia Emmanuel Magoti
Zipo poa
Samira
Messi natamani aende England
Farida ahmad
Asante kwa taarifa
Tatu
Asepe tu
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
warda
Zilikuwa poa