Baada ya kuwaburuza Newcastle United, Brentford imevunja histori ya kutocheza mchezo wa nusu fainali yeyote kwa miaka 131.
Kunako mashindano ya Carabao Cup, Brentford walikuwa nyumbani wakichuana na Newcastle United.
Licha ya Newcastle kuanza mchezo vizuri na Callum Wilson kidogo apeleke habari mbaya kwa mashabiki wa Brentford, alikuwa ni Josh Dasliva aliyevunja rekodi ya timu hiyo baada ya kupachika goli katika dakika ya 66.

Baada ya mchezo huo, kocha wa The Bees – Frank alisema “ni hatua kubwa kwa klabu na inaonesha ni wapi tumetoka. Mmiliki [Matthew Benham] anastahili pongezi nyingi.
“Na pia kwa namna tulivyocheza – tulistahili ushindi na mengine mengi zaidi. Nadhani walikuwa imara, licha ya kufanya mabadiliko mengi bado tumeshinda.
“Tunataka kuwa sehemu ya historia mpya ya klabu hii, ninajivunia hilo. Lakini ninajivunia zaidi kwa namna tulivyocheza leo.”
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



Adelta
Ni historia nzuri kwao
Sarah
Historia nzuri
Caroline
Hongera sana Brentford
Angelina
Goodnews
Rahmal
Nic
Issa
Brenfold rekod safi
Hopemwaikuka
Jamaani duh
Saupha mohamed
Safi
Tatu
Safi
Mwanahamisi
Nice
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii Sana
warda
Safi sana
Ernest Kimeru
Newcastle sijui wamefeli wapi