Habari mbaya kwa mashabiki wa Liverpool, Joel Matip atakosekana kwenye kikosi hicho kwa takribani wiki 3.
Matip alitolewa nje ya uwanja baada ya dakika 60 wakati Liverpool walipokuwa wakipimana uwezo na West Brom Albion, mchezo ambao ulimalizika kwa matokeo ya 1-1.
Kukosekana kwa Joel kwenye mchezo dhidi ya Newcastle jana usiku, kumeonesha ni kwa kiasi gani safu ya ulinzi ya Liverpool inavyotaabika kwa kuwakosa wachezaji wake muhimu.
Kocha Jurgen Klopp alitumia mchezo huo kuzungumzia hali ya Joel ambapo alisema “Kwa hali ya kawaida kwa jereha kama hili, anaweza kuwa nje kwa takribani wiki 3.”

Liverpool inaendelea kuwakosa walinzi wake Van Dijk na Joe Gomez ambao watakuwa nje ya uwanja kwa msimu mzima kutokana na majeraha ya goti kwa kila mmoja.
Safu ya ulinzi ya miamba hii ya Anfield bado inaendelea kupwaya licha ya Fabinho kujitahidi kuziba nafasi ya ulinzi kwa kiasi kikubwa.
Matip ataikosa michezo miwili ya EPL (dhidi ya Southampton na Man United) pamoja na mchezo wa FA dhidi ya Aston Villa.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



Adelta
Pole Sana live
Shakila mrope
Tatizo ni nini jaman
Fatina mfingi
Duuh pole
Ernest Kimeru
Balaa hili kwa Liverpool
Caroline
Pole yake
Neema juma
Pole yao
warda
Watashuka tu tuwape mda na Man U watapanda
Dorophina
Pole yake matip ameacha pengo kubwa
Angelina
Sad news
Tatu
Pole sana
Rahmal
Shida nini jaman
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole yake
Janeflora malisa
Dah
Sarah
Shida nn tena
Sania
Pengo kwa liverpool
Magdalena
Pole yake
Hopemwaikuka
Dah
Issa
Matip ni saf sana