2021 Na Usajili wa Wachezaji Huru.

Pengine 2021 ukawa ni mwaka wa kihistoria kwenye ulimwengu wa soka, hii ni kutokana na idadi ya wachezaji huru kuwa ni kubwa sambamba na ukubwa wa majina yao.

Baadhi ya wachezaji wenye majina makubwa wanamaliza mikataba yao mwezi Juni 2021, hii inaamana kuwa wanaweza kuondoka kama wachezaji huru mwishoni mwa msimu huu au kusajiliwa na vilabu vingine kwa mikataba ya awali.

Usajili wa dirisha dogo kufunguliwa rasmi Januari 2, nani atakuwa wa kwanza kuondoka na kijiji kuhamia timu nyingine? au tutasaini mikataba mipya na kuendelea kuvitumikia vilabu tulivyopo?

Baadhi ya wachezaji wanaomaliza mikataba yao mwaka huu ni pamoja na Lionel Messi, Angel Di Maria, Mephis Depay, Sergio Aguero, Sergio Ramos, Gianluigi Donnarumma, Mesut Ozil, Julian Draxler, Jerome Boateng, David Alaba, Luka Modric, Olivier Giroud, Georginio Wijnaldum, Fernandinho, Romain Saiss na wengine wengi.

Unadhani nani anatimka na nani ataongeza kandarasi kwenye klabu aliyopo???

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

15 Komentara

    Ngoja tuone itakavyokuwa

    Jibu

    Tunasubilia tuone

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

    Iko poa kabisaa

    Jibu

    tunasubiria tuone

    Jibu

    Dirisha dogo itakuwa hatari

    Jibu

    Tusubiri mpaka mwisho tutaona matokea

    Jibu

    Niceupdate

    Jibu

    Tunasubilia usajili tuone itakavyokuwa

    Jibu

    Dirisha dogo litakuwa atari

    Jibu

    Ni msimu wa timu kusajili huu

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Itakuwa poa tunasubiri tuone

    Jibu

    Good

    Jibu

    Tunasubili tuone

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.