Zawadi Aliyojipa Zlatan Ibrahimovic

Wewe ulijipa zawadi ya Krismasi? Basi nyota wa AC Milan Zlatan Ibrahimovic aliamua kujipa zawadi krismasi, amejinunulia msitu huko Sweden kama zawadi.

Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, nyota huyu aliamua kutumia €3m kununua sehemu ya msitu wa hekta 1000 kama zawadi kwake kipindi cha krismasi.

Msitu alionunua unapatikana kwenye milima, ambayo inapatikana mpakani mwa Sweden na Norway na karibu na Åre. Kwa  mujibu wa ripoti ni kuwa nyota huyu anaruhusiwa kufanya michezo ya baiskeli kwenye narafu, kuwinda na pia kufanya shughuli za uvuvi.

Zlatan Ibrahimovic

Ibrahimovic amekuwa nje ya dimba kwa wiki kadhaa akiuguza jeraha lake hivyo anatarajiwa kuzikosa mechi za Milan dhidi ya Benevento na Juventus za mwezi Januari. Huenda akawa sawa kwenye mechi ya AC Milan dhidi ya Cagliari, baada ya Milan kusema kuwa hawana mpango wa kumuwahisha kurejea dimbani.

Ibrahimovic  Milan


 

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

16 Komentara

    Safiii Sana kafanya kitu kizuri kujipongeza kujipa zawadi

    Jibu

    Ni vizuri kununua na kuweka kumbukumbu ktk maisha yake

    Jibu

    Bora ata alivyojiamulia ivyo

    Jibu

    Imekaa poa

    Jibu

    Ndo raha ya pesa

    Jibu

    Iko poa sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Anatumia pesa yake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pesa inaongea

    Jibu

    Amefanya jambo zuri

    Jibu

    Zlatan ni mtu anajipa raha

    Jibu

    Big 🐟 zawad nzur sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.