Harry Kane nyota wa Klabu ya Tottenham Spurs inayonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho amesema kuwa maisha yao ndani ya timu hiyo ni ya furaha kubwa jambo linalomfanya azidi kuwa na furaha kila anapofunga.
Son Heung-min na Kane wamekuwa na ushirikiano mkubwa ndani ya uwanja ambapo wamekuwa ni tegemeo kwenye kikosi hicho kwa pamoja Jumamosi walifunga mabao wakati timu yao ikishinda mabao 3-0 dhidi ya Leeds United.

Leeds United haikuwa na bahati mbele ya Tottenham Hotspur baada ya kuokota mabao matatu kambani kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Tottenham Hotspur.
Mabao ya Spurs yalifungwa na Harry Kane dakika ya 29 kwa mkwaju wa penalti, Son Heung-min dakika ya 43 na msumari wa mwisho ulikomelewa na Toby Alderweireld dakika ya 50.

Matt Doherty dakika ya 90+2 alionyeshwa kadi nyekundu. Matokeo hayo yanaifanya Spurs kufikisha jumla ya pointi 29 ikiwa nafasi ya tatu na Leeds United nafasi ya 12 na pointi 23.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



felister
safi Kane
Adelta
Vizuri Sana🔥🔥🔥🔥
Fatuma kasomo
Nc
Shakila mrope
Vizuri kane
Caroline
Good news
Dorophina
Kane yupo vizuri abahatishi
Mwanahamisi
Nice
Neema juma
Yuko vzr
Saupha mohamed
Nice
Devotha
Kane yupo vizuri sana
Hopemwaikuka
Iko njema
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana kane
Angelina
Safi
Magdalena
Imekaa poa
warda
Mourinho bichwa hilo
Ernest Kimeru
Son na Kane wakipambana watamtia jeuri Mourinho ndani ya EPL
Sania
Kane ni motooo
Issa
Kane wewe
Sabrina
Safii
Sabrina
Safii
Chiku
Iko njema