Southampton Yaweka Rekodi ya EPL.

Baada ya kuwaburuza Liverpool jana (Jumatatu) usiku, timu ya Southampton imeweka rekodi kwenye historia ya EPL.

Southampton imekuwa timu ya kwanza kuwafunga mabingwa wote 7 kwenye misimu inayofuata baada ya kubeba taji la EPL.

Manchester United, Manchester City, Arsenal, Chelsea, Leicester City, Blackburn Rovers na sasa Liverpool wameambulia vipigo kutoka kwa Soton kwenye misimu iliyofuata baada ya kutwaa ubingwa.

Liverpool walijikuta wakiangukia pua kunako dakika ya 2 ya mchezo huo, Danny Ings aliitumia vyema nafasi aliyoipata na kumuadhibu Alisson Becker.

Hiki ni kipigo cha pili kwa Liverpool msimu huu na kimewafungulia mwaka 2021 vibaya, mchezo unaofuata watawakaribisha Man United katika dimba la Anfield.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

23 Komentara

    Spurs wanakuja kwa kasi

    Jibu

    Mambo ni fireee

    Jibu

    🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Hongera zenu

    Jibu

    Wana hitaji pongezi

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Hongera sana Southampton

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Sauthampton wako vizuri

    Jibu

    Ings jana alionyesha ubora wake kwa goli tamu kabisa la kideo

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Walikiwasha

    Jibu

    Hongera Sana.

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    safi

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.