Klabu za Napoli na AC Milan zinaripotiwa kuwa kwenye kwenye vita ya kumnasa nyota wa Hellas Verona Mattia Zaccagni huku Milan wakitajwa kuwa tayari wameshawasilisha dau la awali la €12m.
Kiungo huyu mwenye miaka 26 tayari ana magoli manne na pasi za mwisho 15 kwenye Serie A msimu huu, na kwa mujibu wa ripoti mjini Italia, klabu zote Napoli na Milan zipo mazungumzoni na Verona kwa ajili nya kuinasa saini ya staa huyu.

Kwa mujibu wa jarida la Gazzetta dello Sport, Zaccagni hatarajii kuongeza mkataba wake klabuni hapo na mkataba wake wa sasa unaisha Juni 2022 na Verona wapo tayari kumuuza nyota huyu kwenye dirisha la uhamisho la mwezi huu wa Januari, ikiwa atasalia kwa mkopo huko Bentegodi hadi mwisho wa msimu.
Milan wameripotiwa pia kuwa na nia ya kumsaini Matteo Lovato, mwenye miaka 20 ambaye nafasi yake ni mlinzi na mkataba wake na Verona unaisha Juni 2024.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Rehema
Asante kwa taarifa
Magdalena
Kikubwa aangalie dau nono
Sania
Mattia aangalie maslahi yake hapo
Shakila mrope
Maslahi muhimu
Angelina
Kikibwa maslahi tu
Hopemwaikuka
Atakapoenda sawa tu
Chiku
Kikubwa angalie alipotoka na aendapo
Dorophina
Maamuzi yapo kwake mattia wapi anataka kwenda
Rahmal
Asnte kwa makala nzuli
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Caroline
Aende Napoli kwa wajanja
Mwanahamisi
Bora angalie maslahi
Sarah
Aende popote chamuhimu nimaslahi
Adelta
Kikubwa maslai
Ernest Kimeru
Safari ya Napoli hiii
Lydia Emmanuel Magoti
Bola aende na poli
Issa
Aende milan
Khadija
Hii ni safari ua napol
warda
Penye panamlipa
Sabrina
Aangalie wapi patamlipa