Conte: Inter Wamestahili Kufuzu Robo Fainali

Meneja wa Inter Milan, Antonio Conte anasisitiza kuwa Inter walistahili kwa sifa zote kabisa  katika robo fainali ya Coppa Italia na walikuwa na nafasi ya kuwachapa Fiorentina katika mda wa kawaida wa mchezo Jumatano.

Hata hivyo, Inter walihitaji hadi dakika 118 ambapo Romelu Lukaku aliwatoa kimasomaso kwa goli la kichwa na la ushindi katika mda huo wa nyongeza baada ya penati ya Arturo Vidal na mkwaju wa Christian Kouame kumaliza dakika 90 kwa sare ya 1-1.

Conte: Inter Wamestahili Kufuzu Robo Fainali

“Tulistahili kufuzu, na ilitakiwa kuwa ndani ya dakika 90 za awali, kwa sababu tulikuwa na nafasi kubwa ya kushinda. Vijana walifanya vyema, kucheza dakika 120 wakiwa vyema na kujipanga kwa usawa. Nimeridhika.” – Antonio Conte

Zaidi Conte anabainisha kuwa amefurahi wachezaji wale ambao walikosa nafasi ya kutinga dimbani kwa mda mrefu kidogo kwa sababu tofauti kama Aleksandar Kolarov na Andrea Ranocchia walivyothibitisha ni kwa namna gani wanaijali Inter.

Conte anaamini kuwa alikuwa na kikosi bora zaidi kufuatia uchaguzi alioufanya, na kilistahili kupata matokeo mazuri na kufanikiwa.


 

JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

13 Komentara

    Asant kwa taarifa

    Jibu

    Ni kweli

    Jibu

    Conte anachachawa mno kutokana kuwa na kikosi imara kwa bahati mbaya imekuwa ikipata ushindi kwa shidada mno

    Jibu

    Asante kwa taalifa

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    safi

    Jibu

    Hongera yao

    Jibu

    Ni kweli

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Haswaaa walistail

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.